Photos From Wema Sepetu's Instagram Party In Mwanza

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

The weekend was very busy and enjoyable to Dar e salaam's entertainment followers as Zari's All White Party took place on Friday at Mlimaniu City. On the other side, Mwanza was almost the same as Wema Sepetu was there for two days to attend Instagram Party. Wema looked hot in a black dress. Other celebs like Idris Sultan, Jihan Dimack joined Wema. Look photos below.............





-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. haya semeni mengine, Wema kapata watukibao. na hakufanya matangazo sijui ya tv station, wala elfu 3 za cm.

    ReplyDelete
  2. masha allah, watu kibao na kiki hakuna, dai alisema atawazawadia yamoto band na suprise nyingi hatukuona hata moja. uongo si mzuri kwakweli.

    ReplyDelete
  3. NYOTA YA WEMA INANGARA HATA WAKIMTUKANA MUNGU ANAZIDI KUMFUNGULIA. WATAELEWA TUU.

    ReplyDelete
  4. SHE IS A STAR WEMA, NAZIKDI KUKUPENDA, KUVAA UNAJUA NA NYOMI LA WATU KIBAO. LIMEWASHUKA KAMA PILLTON.

    ReplyDelete
  5. kudaaadeki nani kanunaaaaaaaaaaaaaa! be Wema fanya Wema mtoto hana hiyana roho nzuri inalipa wallahi.

    ReplyDelete
  6. wao wenyewe bila Wema wasingekuwa na hilo jina.
    huyo bibi bomba mwenyewe anatembelea jina la Wema.

    ReplyDelete
  7. Pesa alioingiza zari wema hawezi ingiza hata akifanya shoo juu yandege zari anajua biashara wema kazi yake kuuza sura tu

    ReplyDelete
  8. Zari kiboko hata ubishe paka kuche

    ReplyDelete
  9. Wema katupia kitambaa chake kwenye jiwe, jiwe limekusanya kitambaa sasa linabeba majiwe mengine. Sio mimi ni Mrisho Mpoto huyo kaandika hayo kwenye account yake ya Insta,

    ReplyDelete
  10. Acheni uongo mimi nilikuwepo katika hiyo part,wala hatukuwa watu wengi kiasi hicho.Hiyo picha ilipigwa wakati wa kili stars tour mwaka jana na wala si ya juzi.
    Acheni ulimbukeni wenu na huyo shosti miguu kuzeeka!

    ReplyDelete
  11. shuka kumekucha,alikuwa wapi siku zote?akili za kushikiwa

    ReplyDelete
  12. swala la umri mnaliona huku bongo penzi halina umri jamani.

    ReplyDelete
  13. duh inabidi kujiliwaza kwa idrisa,dogo nae hana kinyaaa?charles baba,domo,kanumba,jumbe,wengine nikumbusheni mzee wa BMW ya birthday,ck ,dogo nae yumo ushamba ni shida.acha vigogo waliopita kwasiri

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kinyaa angeona kwanza Diamond

      Delete
  14. kutwa nzima anaringanishwa na wema mbona hawamulinganishi na kidoti peni au worper

    ReplyDelete
  15. Na list ya Zari umeisahau au unaona ya Wema tu

    ReplyDelete
  16. wema jamani anagawa sana mi nilimuona Abla kipindi yupo na diamond Kaja kwa mwanaume usiku wa manane Malaya sana but anajificha tu.Ndo mana Dy alijua tu c mwanamke wa kuoa kwanza Akili ziro.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wema hanaga hiyana. Mbele nyuma hana neno. Katumia mgongo wa Dy na Zari kufanya ig party yake uchwara. Alikuwa wapi siku zote hizo kama sio kusubiri promo kwa maturufu??!! Viguu vimekaukaa. Mkorogo zebra style. GUMBA mbovu. Anataka watoto wakati kawa flash mwenyewe..mfyuuu

      Delete

Top Post Ad