Riyama Ajivunia Maneno ya Kiswazi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Staa wa Bongo Movies, Riyama Ally, ameibuka  na kusema anajivunia  kuwa na manenona misemo ya kiswazi  ambayo huzungumzwa na wanawake wanaishi sehemu  za uswahilini ndiyo maana amekuwa akishirikishwa kwenye Filamu nyingi.

Akizungumza  na  Tanuru la Filamu jana, Rayama  alisema  kuwa filamu mpya iitwayo WOGA  ambayo ipo madukani sasa imesababisha watu wengi wahisi kama ndivyo alivyo hata akiwa nyumbani kwake kwa sababu uhusika alioubeba  huku unaonekana ndivyo tabia yake.

Nine kila sababu ya kujivunia maneno  machafu  ya uswahilini kwani hayo ndivyo  yananifanya nipate mialiko  mingi ya kuigiza  kama  nilivyoshirikishwa  kwenye filamu  hii ya WOGA ambayo ni mejitahidi  kuuvaa uhusika  na kitendo hiki ndicho kinanipa heshima badala ya kuwa na skendo kama wafanyavyo wasanii wengine" alisema Riyama.

Mbali na Riyama wasanii wengine waliocheza kwenye filamu hiyo inayosambazwa na Freshas Campany Ltd ni David Justine, Hashim Kambi, Abdalla Hamis na Mohamed Fungafunga.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dada hakuna mtu anayependa scandals na usisahau kuwa NO BODY IS PERFECT"Siombei itokee but 'am sure kuna siku tutazisoma stori zako in negative way so watch what comes out of ur mouth

    ReplyDelete
  2. Angekuwa mtu wa skendo tungeshazisoma sana, ila Riyama anajiheshimu sana, hata kama ana mambo yake lakini haweki hadharani kama hao wanaojiita mastaa uchwara

    ReplyDelete

Top Post Ad