Safari Ya Matumaini ya Edward Lowassa Itaanza Rasmi Jumamosi Hii Jijini Arusha......Watanzania Wote Mnakaribishwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Safari  Ya  Matumaini  ya  Edward  Lowassa  Itaanza  Rasmi   Jumamosi    Hii  Jijini  Arusha......Watanzania  Wote  Mnakaribishwa.

Tarehe: 30.05.2015
Mahali:  Uwanja  wa  Sheikh  Amri  Abeid- Arusha
Muda:   Kuanzia  Saa 8 Mchana  hadi  saa 11 Jion
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyu mzee asipoteuliwa na chama anaweza kufa kwa presha ametumia pesa nyingi sana kutafuta nafasi

    ReplyDelete
  2. Watanzania wanatakiwa wajue wanacho kitaka wapiga kura,mnataka viongozi wa namna gani?hakuna mgeni atakaye kuja kuibadilisha Tanzania bila Watanzania kuamua,hata kama hela zitatoka nje za budget yote ya serikali ,bado kama Watanzania hawataki mabadiliko haitasaidia,ni sawa na walio rudishiwa machimbo huko kanda ya ziwa ,wana anza kushangilia ,wakati almasi zimeisha ,kama vile sio mali ilikuwa yao.Mungu atusaidie kuwa na macho ya kuona.

    ReplyDelete
  3. Tunaomba ututafsirie Unamaanisha nn?

    ReplyDelete
  4. Tusali sana Watanzania ili Mwenyezi Mungu Muumbaji ambaye anaujua mwisho tokea mwanzo atuepushe na Mungu Shetani ambaye anaweza kusababisha sauti za wengi sisi zionekane kama ni sauti za Mwenyezi Mungu Muumbaji.Tukumbuke Watanzania Mungu si jina bali ni Cheo na Mamlaka na ndiyo maana Mungu wa Dunia hii ni Shetani, hivyo usemi kuwa "sauti ya wengi ni sauti ya Mungu" si lazima iwe ni Mungu Muumbaji.Shetani ametamalaki sana katika siku hizi za mwisho,tusipomuweka Mungu Muumbaji mbele miaka kumi ijayo itakuwa ni kiama

    ReplyDelete

Top Post Ad