Tuache ushabiki Jamani Huyu Dada Tumpe Hongera yake... Ubunifu Wake Nimeupenda..Mitandao ya Kijamii leo ni Zari Zari

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mrekebisha Tabia Ameandika Hivi:
Huyu dada nimempend a mnoo!! Kwenye suala la kutafuta pesa...tumpe hongera yake! Ubunifu nimeupenda...Akipata fursa anaitumia kisawasawa...Zari White Party ni idea yake na alivyoshirikiana na management ya Diamond imekuwa tamu sana, itakuwa wametoa pesa nyingi sana kuandaa lkn wameingiza pesa nyingi pia maana wamepata wadhamini wa kutosha...hapo hata wakigawa baadhi ya tickets bure sion shida kuhusu hili.

Hapa nataman na mastaa wetu waige mfano au wamzidi kwa kufanya kitu cha maana na cha maendeleo....inawezekana!!! Tatizo langu ni moja tu!! Why mtu umtukane mtanzania mwenzako na kuunda magroup ya kudhalilisha eti kisa ni Zari...hatuwezi kumsapoti mtu mpaka mwingine atukanwe kwanza?

Watanzania tuacheni hizo, tunazidiwa na watu wa nchi nyingine. Sijui nani katuroga!!!


Patrick Gondwe Ameandika Hivi :

"Zari:huyu mdada kupitia perceptions za media nilikuwa nikiamini ni chakaramu tu kama akina ...... lkn baada ya interview nimekuwa na mtazamo tofauti.... kumbe huyu ndie aliemfaa diamond haswaa.... kichwani ni 3D huyu.... namna anavyozungumzia investments pengine ndilo lilikuwa jawabu kubwa alilokuwa akilitafuta mtoto wa mbagala.... tena huyu alipaswa kuwa meneja wake kabisa"

My Take.......

She is really a lady Boss.....Proved....
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jamani hakuna rabari zinyingine zaidi ya zai wema and diamond sasa too much

    ReplyDelete
  2. mnauhakika na hayo mnayosema?. subirini part iishe muanze kusikia malalamiko yawatu waloliwa pesa zao.

    ReplyDelete
  3. Zarina ni mama mtu mzima 41+. huwezi kumlinganisha na Wema 26. msijifanye wataalamu wa maisha ya watu. yeye alishaanza zamani kuwala wanaume pesa.

    ReplyDelete
  4. so kila afanyalo bi kizee na Wema lazima afanye. kwani zari na wema ni rika moja. toeni pumba hapa.

    ReplyDelete
  5. KILA MTU ANAUWEZO NA KUFIKIRI KILE ANACHOTAKA, MSIJITIE KUMSIFIA SAANA WAKATI SIRI YAO YA KUPART HAMUIJUI, SUBIRINI KESHO NA MSEME MLIVYOINGIZWA MJINI.

    ReplyDelete
  6. BIG UP ZARI, NAKUPENDAJE

    ReplyDelete
  7. BIG UP ZARI WEWE MBUNIFU WATAPENDE WASIPENDE!!!DIAMOND UMEPATA KITU SI MCHEZO

    ReplyDelete
  8. Pesa yote ya jana ishakimbizwa Uganda

    ReplyDelete
  9. Yani nyie mafala mmekaa msubili hiyo party ingekuwa mbaya jaribuni kujitambua na roho zenu za kimaskini

    ReplyDelete
  10. Yaani kuna watu wana wivu hadi wanajichanginyi katika kuchangia, hivi si inasemekana huyu dada ni lady boss NYAMIHELA? Haya huyo mtoto wa Mbagala anafilisika kiaje? Mtakufa kwa wivu jamani wenzenu wanasonga mbele. Masikini wee, polee kwa donge lisilo na mashiko! MTAJIBEBAAA!

    ReplyDelete

Top Post Ad