Tunampenda TID, Tumsaidie Kumtoa Kwenye Matumizi ya Unga – Q-Chief

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Q-Chief amedai kuwa ni muhimu jitihada zikafanyika na wadau mbalimbali ili kumuokoa TID kutoka kwenye dimbwi la matumizi ya madawa ya kulevya.

TID amekuwa akihusishwa kutumia dawa kwa kipindi kirefu lakini ameendelea kukanusha.

Akiongea kwenye kipindi cha Harakati cha Clouds TV kinachoendeshwa na Kalapina, Chief alisema TID ni msanii mwenye uwezo mkubwa hivyo ni muhimu kwa watu kumshawishi kuachana na matumizi ya dawa hizo kama yeye alivyofanikiwa kuacha.

TID ni Q-Chief waliwahi kuwa maswahiba wa muda mrefu na walikuwa pamoja kwenye Top Band japo walikuja kukosana. Hadi sasa hawaelewani na kauli hii ya Q-Chief inaweza ikawa ni mwiba kwa Top in Dar!
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mimi kama msanii siwezi kabisa kupoteza muda wangu kumsaidia pumbavu kama huyu... kila mtu na maisha yake

    ReplyDelete

Top Post Ad