Ubuyu:Wema Sepetu, Aunt Ezekiel Kimenuka Kisa Zari, Kisa White Party ya Zari

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Gazeti la Risasi la leo limeripoti kuwa Mataa wa bongo movies ambao ni  mashosti wa kufa na kuzikana, Wema Isaac Sepetu na Aunt Ezekiel Grayson wanadaiwa kugombana baada ya Aunt ‘kuposti’ kwenye ukurasa wake wa Instagram tangazo lililohusiana na pati ya mwandani wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ iliyofanyika Mlimani City jijini Dar wikiendi iliyopita.

Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa mastaa hao wa sinema za Kibongo, baada ya Aunt kuposti tangazo hilo akiwalaumu watu wa mtandao wa huduma za simu waliomtumia ndipo Wema akaona na kuja juu.
Ilielezwa kwamba baada ya Aunt kutupia picha ya tangazo hilo, Wema alichukizwa na kitendo hicho huku akimuona Aunt kuwa amemsaliti.

Ilisemekana kwamba katika utetezi wake, Aunt hakupendezwa na tangazo hilo alilotumiwa na mtandao huo wa simu.
“Wema alivyoona alichukia na kusema Aunt alikuwa akimsaliti na alitumia tangazo lile kijanja kwa ajili ya kuwatangazia watu kuhusu pati ya Zari wakati anajua kabisa kuwa Wema hazipandi na Zari kwa sababu anatoka na aliyekuwa mchumba’ke (Diamond),” kilisema chanzo hicho.

Katika sakata hilo, kuna watu ambao waliona Aunt hakuwa na kosa lakini wapo walioona hakuwa sahihi, jambo ambalo lilichochea ugomvi wao huku wakidaiwa kukesha wakitukanana.

Gazeti hilo lilipozungumza na Aunt kuhusiana na sakata hilo, alikiri kutokea akisema kuwa hakuwa na maana mbaya kuposti tangazo hilo lakini kila mtu ana mtazamo wake.

“Mimi sikumaanisha chochote kibaya kuhusu hilo tangazo na wala sikujua kama kuna mtu anaweza akalichukulia tofauti kabisa na hapo na mimi ndiyo nashindwa cha kuzungumza,” alisema Aunt.
Alipopigiwa Wema simu yake iliita bila kupokelewa.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu Wema hatokuja kuendelea kimaisha, atabakia na story za team Wema...thats will be the end of the road for her...akisikia jina la malaya Zari linatajwa basi roho utamuuma sana

    ReplyDelete
  2. Ninachokijua mimi Rafiki ni Rafiki na inabaki kama Rafiki na pia kuna mipaka yake. Inapofikia hatua ya Rafiki kukuchagulia na kukuamulia nini cha kufanya katika Maisha yako binafsi huo tena sio Urafiki bali balaaa. Huko ni kuvuka mstari wa Urafiki kwa kujaribu ku control maisha ya mtu mwingine. Hivi huyu Kicheche atakuwa anaenda huko mitaani na kuwachagulia Marafiki zake nini cha kufanya???? Atakuwa anawachagulia ni nani wa kuongea nae na nani sio wa kuongea nae.....atawachagulia ni nguo gani ya kuvaaa.....chakula gani cha kula......Akanye choo gani......Ajambe ushuzi sehemu gani Dah!!.....Mbona hiyo tena balaaa.....Huyo Kicheche Mpumbavu sana huyo. Anafikiria alivyokuwa anamtawala Domo na kumkalia kichwani kwake basi atafanya hivyo kwa watu woooteee. Domo mwenyewe aliisha mshtukia na tabia zake za control maisha ya watu. Achaneni na huyo manipulative Kicheche.........

    ReplyDelete
    Replies
    1. How sure are you that the written information is right? pamoja na kuachwa kicheche o asiachwe? Usipayuke na kitu hauna uhakika nacho

      Delete
  3. Rafiki ni mama yako na baba yako aliyekuzaa. Basi

    ReplyDelete
  4. Wema Ukiwa Huna kitu no one want u!!!!! Ukiwa nacho utawaona wengi mno. Nazani umejifunza my dear

    ReplyDelete
  5. Kama unahela zinakuwasha Wape yatima

    ReplyDelete
  6. MIMI NAKUOMBA WEMA HIZO HELA UNAZOTUMIA KWAVITO AMBAYO AVINA MANA KWANINI
    USIJENGE NYUMBA AKATULIZA AKILI WEWE SI ONAONA MALAYA WENZAKO AFAZALI WANA NYUMBA KAMA LULU UMALAYA WAKE BOLA AMEJENGA NYUMBA LAKINI WEWE HONA KITU CHOCHOTE ATA CHOO CHA MLANGO MOJA HAUNA NYUMA NDIO FAIDA YA UMALAYA ALAFU UMALAYA UMAKULIPA KWANINI USIJENGE

    ReplyDelete
    Replies
    1. We ulijenga kama hao malaya wenzio?

      Delete
  7. Kwan alikuja kwako kuomba malazi?

    ReplyDelete

Top Post Ad