Ukistaajabu Ile Tattoo ‘Shishi baby’ kwa Mziwanda Jionee Hii ya ‘Irene Uwoya’ kwa Vjaymapenzi!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Katika hali ya kuonyesha hisia zake kwa staa wa bongo movies, Irene Uwoya kijana anayejiita Vjaymapenzi amejichora tattoo yenye jina la staa huyo  mkononi na kufunguka haya mtandaoni.

Itatokea kwa iman yenye uvumilivu wa wazi maana unaeza jizuia kwenda haja lakini sio kujizuia kumpenda mtu alitunukiwa ndani ya moyo wako na nafsi ikamkubali...ni rahisi sana kuwa tayara kwa lolote sababu chaguo la moyo ni chaguo la furaha na faraja ya maisha...kumpenda Irene Uwoya ni ugonjwa wangu na sijui kama nitapona sababu sina mpango wa kutafuta matibabu ni mie na yeye na yeye na mimi".

Uwoya naekupitia ukurasa mtandaoni alimjibu kwa “Asante sana kwa kunipenda Vjaymapenzi" mara baada ya kuweka picha ya Vjaymapenzi yenye tattoo na maelezo yake.

Hakika watu wanapenda jamani.

Mzee wa Ubuyu
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mnaijua tattoo au mnaandika tu? hiyo peni kajichora not a tattoo

    ReplyDelete
  2. KWELI KABISA KACHORA NA BIC

    ReplyDelete

Top Post Ad