Damn this traffic jam...i had to take a motorbike so that i can get my LONDON Flight!!... UK can you guys see how much i love you...
(LONDON! Huu ni mfano Mzuri wa kuwa Mapenzi yananguvu kuliko Pesa, yaani kwa jinsi ninavyowapenda LONDON imenibidi nichkue bodaboda ili nsiachwe na ndege...)
Hiyo ni kawaida mbona, tunawaonaga maofisa wengi tu wakiacha mashangingi na kudandia boda boda na wengine wanafukua mbio kama si parefu sana. Binafsi sishangai!
iiiiiiiiiiii si bado bad ni boda boda
ReplyDeleteiiiiiiiiiiii si bado bad ni boda boda
ReplyDeleteHiyo ni kawaida mbona, tunawaonaga maofisa wengi tu wakiacha mashangingi na kudandia boda boda na wengine wanafukua mbio kama si parefu sana. Binafsi sishangai!
ReplyDelete