Wachaga Wamegawanyika Kama ifuatavyo, Sio Wote ni Wajanja!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wachaga wamegawanyika kama ifuatavyo, sio wote wajanja. Kuna:-
1. Warombo wajanja sana kibiashara/wezi pia, wameajiri Wamarangu mjini ni walevi sana hupeleka wake zao vijijini wakileta kiburi mjini. Wanawake zao ni mama Huruma, wanaachia tu.. Ukioa mrombo ujue umeolea kijiji.

2. Kuna Wamarangu wazuri sana wa sura na umbo wanawachuna Warombo. Wanawake wana dharau sana na wanaume ni waoga kuliko wanawake. Mwanaume wa Marangu kupigwa na mkewe si jambo la ajabu.

3. Kuna Wakibosho wanafanana na Warombo lakini ni wavumilivu zaidi. Biashara kubwa wanayofanya ni ya kuchinja... wengi wanamiliki mabucha. Wana hasira sana na ni wakatili.. Akikuchoma kisu, siku ya mazishi anakuja kudai kisu chake.

4. Kuna Wamachame hawa ni wezi sana, ukifanya nae dili umeliwa, niwasiri sana, anaweza kukuua huku akitabasamu, sio waaminifu sana lakini huenda kanisani mara nyingi zaidi kuliko Wachaga wote. Wanawake wa machame wanaitwa 'Wapalestina'.. Mume ukitajirika mkeo anakuua ili arithi mali.

5. Kuna Wauru, hawa hupenda kusoma sana lakini hawapendi maendeleo kabisa, wanawake wakifikisha umri wa miaka 40 hua wehu na wanaume huwa vichaa mapema zaidi. Wanaume ni wavivu, wanawake ni wachapakazi hodari. Wanazurura mjini na mabeseni wakiuza ndizi mbivu.. Ukioa Uru jiandae kulea kichaa.

6. Kuna Wakirua, wanapenda sifa kama Wahaya. Wanawake wa Kirua ni wachawi kupindukia.. Wanaloga hata jiwe ili tu alikomoe.. Wanaume wao hawaoi kwao.. Hawapendi kuishi mjini maana wanaogopa gharama.. lakini siku wakija mjini watatu tu utadhani wako mia.

7. Kuna Wa-old Moshi. Hawa ni mafundi stadi wa ujenzi wa nyumba, japo hawajengi kwao. Mpaka leo hamna daladala ya kwenda Old-Moshi kuanzia Moshi mjini, maana ni wabishi kulipa nauli na pesa inaishia kwenye mbege njiani. Wanaume wamezoea kutoka nyumbani saa kumi na moja alfajiri na kurudi saa sita ya usiku kwa miguu.!

Kilaza
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ACHA UONGO ROFA WW, MENGINE UMETOA KICHWANI KWAKO

    ReplyDelete
  2. ahaaaaa dah hii kali

    ReplyDelete
  3. ndorooobo wewe!!

    ReplyDelete

Top Post Ad