google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Walimu Waingiliwa Kimwili Usiku Kichawi huko Kibondo Kigoma Huku Waume zao Wakijikuta Wamelala Chini | UDAKU SPECIAL

Walimu Waingiliwa Kimwili Usiku Kichawi huko Kibondo Kigoma Huku Waume zao Wakijikuta Wamelala Chini

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Picha si ya Tukio
Waalimu wa kike wawili wamejikuta wakiingiliwa kimwili usiku na watu wasiojulikana huku waume zao wakijikuta wamelala chini.

Tukio hili linalohusishwa na imani za kishirikina limetokea miaka miwili baada ya matukio kama hayo kutokea na kisha kukemewa vikali na wana kijiji na kisha kupungua.

Chanzo : RFA
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad