Wema: Kumiliki Au Kutomiliki Bastola ni Siri Yangu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Staa wa Bongo Movie, Wema Sepetu, amedai kwamba itabaki kuwa siri yake kama ni kweli anamiliki bastola ama la kwa kuwa si sifa kutangaza umiliki wa silaha.

“Hii ni siri yangu kama namiliki bastola au la, lakini mimi sioni ajabu kumiliki bastola, mtu kama mimi mwenye maadui wengi inasaidia katika ulinzi wa maisha yangu,” alieleza Wema.
Wema aliendelea kuwataka wanaojiuliza kama anamiliki bastola ama la waendelee na mambo yao mengine kwa kuwa hawatajua jambo hilo ambalo ni siri katika kuimarisha ulinzi wake.

Gazeti la Mtanzania
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. "P O I N T" Wema wangu, jibu lako limeenda shule

    ReplyDelete
  2. Kama alidanganya kaolewa atashindwa kudanganya ana bastola??!! Silaha wanapewa wenye akili timamu tu. Wema hata akili ya kukataa kuvua chupi kwa wasaka mapozeo hana. Ndio atakuwa na akili ya kumiliki silaha. Wema kubali yaishee.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sasa hapo kadanganya nini wakati hajatoa jibu kama anamiliki au hamiliki. Chuki zitakuua kabla ya siku zako.

      Delete

Top Post Ad