Wema Sepetu Aeleza Kwanini Hampendi tena Diamond na Kwanini Zari Hamtishi Kwenye Fashion

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wema Sepetu hampendi tena Diamond Platnumz na anasema kila anapoukumbua uhusiano wao, anakumbuka mambo mabaya zaidi kuliko mazuri.

Hapana simpendi [Diamond], yalishaisha hayo, nilishampendega, niliwahi kumpenda sana, lakini hamna tena, yaani hata sishtuki,” Wema alikiambia kipindi kifupi cha Kabali cha EFM.

Nikimkumbuka Diamond most of the things ambavyo ninavikumbuka sio vitu vizuri na ndio maana hata sasa hivi imekuwa hivyo. Vizuri vilikuwepo lakini mtu anaweza akafanya vizuri akaja kufanya kimoja tu kibaya na akaharibu vyote tisa,” aliongeza.

Katika hatua nyingine Wema alisema Zari the Bosslady hamtishi katika sekta ya fashion.

[Zari] hanitishi kwasababu yeye ana taste yake, mimi nina taste yangu, yeye ni Zari mimi ni Wema,” amesema muigizaji huyo. “I got my own, I like to play along with anything and she got her own.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. But you still love Diamond.cos ulimfataga sana sema dai hana mpango na wewe

    ReplyDelete
  2. Hahahaha!sizitaki mbichi hizi.

    ReplyDelete
  3. unajuwa mwenye maneno mengi siku zote anjipelekapeleka na kujipendekeza ili aonekane ila jamaa kamute wala hana habar na yeye anapiga kazi na mambo yake yanamuendea.... cha msingi atafute buyu akune hana jipyaaaaa!!

    ReplyDelete

Top Post Ad