Wema Sepetu na Aliyekuwa Mume wa Zarii Kunanii? Wapanga Kuwaumiza Diamond na Zari Kwa Kumsapoti Ali Kiba Kill Music Awards

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Week end hii iliyopita Wema Sepetu na Aliyekuwa Mume wa Zari Ivan wamekuwa busy sana kumspoti Ali Kiba na Kumpromote kwenye page zao za Instagram kitu ambacho si cha kawaida na kimechukuliwa kuwa wawili hao wamepanga kufanya hivyo kumuumiza Diamond na Zari ...Wengi wamehoji iweje Mganda Huyo aliyekuwa mume wa Zari ghafla tu aanze kushabikia Bongo Flava na huku Wema nae Akiwa Busy kuposti Promotion za Kuwaambia watu wampigie kura Ali Kiba asimu wa Diamond?...Je Wameambizana? Je nini Kina endelea Kati yao Kwa Siri??

Angalia Picha Hizi kutoka katika Page zao za Instagram :
Posts za Mume wa Zari 
Post za Wema Sepetu
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. CAHA AJABU NINI? KAMA ANAPENDA MTANZANIA CHAGA BABY WHY NOT SUPPORTING KIBA? UMBEYA TUU

    ReplyDelete
  2. Mmmmh kumbe kuachwa kubaya, maumivu yake makubwa sana, unapata kazi ya kuwa unamuombea mabaya mwenzi wako kila alifanyalo watamani liharibike tu. Mwenzio ametulia anafanya yake we unahaha kuhangaika kumuharibia, poleni wenzetu najua hisia zenu zimeumizwa sana.
    My take: Fanyeni yenu mtajiumiza psychologically mtavichukia hata vile mvipendavyo kisa mwenzi wa zamani anavipenda, mtawachukia hata wale walio muhimu kwenu kisa wana ukaribu na mwezi wa zamani.

    ReplyDelete
  3. hakuna mwenye maumivu usirope kama umekunywa uji mmbichi. 9.58 AM kila mwanadada anauhuru wa kumpenda na kumsaport mtu. kwani huyo Zari alitokaje kwako kuja kuwachanganya kina muzammili na Dai tz. upo bibi

    ReplyDelete
  4. hakuachwa jana wala juzi huyo Ivan na bi kizee waliachana cku nyingi na Zari alishakuwa na wanaume wengi kabla ya kumdanganya Dai kuwa mimba ni yake. uliza uambiwe

    ReplyDelete
  5. team DAI tulieni msiwajibu hao wajinga kizuri kinajiuza na kibaya kinajitembeza

    ReplyDelete
  6. Nyie watu wa ajabu sana, Wema akimuongelea Diamond kidogo tu kama X wake mnapiga kelele na matusi ya nguoni juu mnamtukana na kumsema hajamove on with her life. Kidoti amempromote Kiba mbona hamumsemi? Isitoshe Wema ana haki ya kumposti na kumpromoti mtu yeyote anaemtaka kwenye page yake. Hivi huyu Wema angempromote Diamond si mngeenda tena kumtukana kuwa anajipendekeza na kumfuatafuata Diamond, Hamna jema nyie watu ni wabaya na mna roho mbaya ya kisasi kama huyo mnaemshabikia.

    Hivi ni lini na wapi Diamond ameshawahi kumpromote Wema na kazi zake zaidi ya kumponda na kumsema ni mvivu hafanyi kazi wakati yeye mwenyewe kwa kutojiamini kwake ndio alikuwa anamzuia asitoke. Diamond alimkataza Wema kwenda kufanya kazi na Van Vicker wa Ghana na ndio kitu kingine kilimfanya Wema amuache Diamond baada ya watu kupiga kelele kuwa anamfanya ndondocha.

    ReplyDelete
  7. Kwani huyo Bibi Masumbuko anafanya kazi gani asimpromote mume wake mtarajiwa kwenye page yake mpaka msubiri awe promoted na Wema?

    Wakati ule alienda SA kupokea tuzo ambazo Wema alifanya kazi ya kuzipromote sasa tunataka tuone tuzo ambazo zimepatikana kwa kuzipromote yeye baby mama. Acheni kulia kulia tu si na nyie mukazane kupromote, mmezoea dezo sasa imekula kwenu,

    ReplyDelete
  8. Mbona Diamond alimualika Kajala na akaposti picha zake kwenye page yake hakuja kuripoti huku kwenye blogu yenu?

    ReplyDelete
    Replies
    1. We ndo umeongea umekubali kwamba ni maumivu kwasababu D alimpost K kwa hiyo Na Wema kaamua kumsapot adui wa D ili D naye aumie Kama yeye alivyoumia! Kwa nini asimpromot Ommy ambaye wako karibu?

      Delete
    2. Umeona Ommy kawekwa kweneye category gani kwenye Kili awards? Hata huyo Ommy alivyofanya video na Wema, Diamond alinuna na nyie wafuasi wake kutwa kwenda kumtukana Wema na Ommy pia. Yes tit for tat, tamujee maumivu yakizidi akamuone Daktari, Wema endelea hivyo hivyo na actions zako umuumize mpaka akohoe damu hahahahahaaaa ameshakuumiza na kukudharaulisha vyakutosha mara atoke na mashosti zako mara akukatishe viuno stegini, (duh lakini na safari hii kamkatisha viuno baby mama pamoja na mimba yake hahahahahaha), mara akuchagulie marafiki mara akukataze kufanya kazi huku anakuita mvivu umemkomeshaje mpaka kasusa tuzo, safi sana.

      Delete

Top Post Ad