Zari wa Diamond Ateswa na Picha Inayoonyesha Akiwa Beneti na Pedeshee Katunzi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MUSA MATEJA
MCHUMBA wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’,  Zarina Hassan ‘Zari’ amedaiwa kuangua kilio baada ya kuvuja kwa picha yake na mfanyabiashara maarufu jijini Dar, Mzamili Katunzi ambayo ilidaiwa kuwa ni mtu wake na kusababisha gumzo mjini.

Mtu wa karibu na Zari amefunguka kuwa Zari alijisikia vibaya sana baada ya kuona picha hiyo na kukasirika hivyo kuanza kuwasaka watu walioivujisha kwani walikuwa na nia mbaya ya kumgombanisha lakini wamechemka.
Zari kamaindi kweli, anajiuliza huyo aliyeivujisha alikuwa na lengo gani?” alisema mtu huyo

Jitihada za kuzungumza na Zari hazikuzaa matunda lakini bahati nzuri Diamond alipatikana na kufafanua:
 “Ni kweli zimemsumbua baby lakini nimemuweka sawa kwa kuwa najua ni mambo ya mitandao, hakuna ukweli wowote.”
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. If she is innoccent then why worrying?????????????


    Wenye akili wataelewa tu maana alishashutumiwa kuwa mimba ni ya huyu huyu.Na alikutana na Diamond ktk ndege akija Dar,je alikuwa akija kwa nani?

    ReplyDelete
    Replies
    1. alikuawa bado ajaona wa kuumfaa sasa katulia toka aachane na huyo sijui mumewe au baba watoto wake.

      Delete
  2. alikua akija kwa mamayako..............

    ReplyDelete
  3. Mweye msichoki kuweka kila aina ya picha mnakazo taka ila diamond bado kuwachana na zari siye leo wala siyo mnakavo taka nyiye

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mwee Miss Temeke mpaka huku upo na kiswahili chako kibovu? Hahahahahaaaaa uwiiiii

      Delete
  4. Hizo picha zimemuumiza kivipi? Ni-zauongo yaani zakutengeneza au ni ndugu yake huyo Mzamil au walishaachana hebu tudadavulieni jamani nasisi wapenda udaku tuelewe. Hapo hapo tutamuelewa domo kwanini kasema ni mambo ya mtandao, hakuna kweli wowote!! Sio kweli nini??

    ReplyDelete
  5. Hehehe, Dai anakufa na tai Shingoni,bora ukosee kujenga kuliko kukosea kuoa, only time will tell. Set back and watch the movie

    ReplyDelete
  6. Bwanaeee huyo katunzi nani asiemjua,Hebu atulie namkewe nawanae,kupenda pichu tu walasio mwanaume wakuwanae,kama zari alipita kwakuwa Alikuwa hamjui katua kwa daimond mnavujisha picha mshindwe,we katunzi ushazeeka kapumzike huko mchafuzi tu wewe.

    ReplyDelete

Top Post Ad