Zari "Watanzania Wamenikaribisha kama ni mtu wao na sasa mimi ni wao hivyo ni yote ni heri kabisa"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Zari Tlale aka The Bosslady amesema upendo anaoupata baada ya kuanzisha uhusiano na Diamond Platnumz, umemfanya agundue kuwa watanzania wamemkubali kama mtu wao.

Akiongea na Clouds FM/TV asubuhi hii, Zari amesema tangu ameanza kuja Tanzania amekuwa akipokea upendo zaidi kutoka kwa watanzania kiasi ambacho kimemfanya ajisikie kama yupo kwao.

“Siwezi hata kulalamika, watu wa Tanzania ni wakarimu sana ni watu wazuri sana, kwangu mimi sijapata hata tatizo, siwezi hata kusema kitu chochote kibaya kuhusu watu wa Tanzania,” alisema.

“Wamenikaribisha kama ni mtu wao na sasa mimi ni wao hivyo ni yote ni heri kabisa,” aliongeza.

Katika hatua nyingine Zari amesema Tanzania itageuka kuwa makazi yake ya mara kwa mara na mipango iliyopo ni kuanzisha mradi wa kibiashara nchini lakini baada ya kufanya utafiti na kubaini fursa za uhakika.

“Siwezi tu nikafungua biashara hapa eti kwasababu mimi ni maarufu nikafungua tu biashara ya kijinga na nikidhani ninaweza nikauza wazo langu la kijinga kwa watu hapa, wao sio wajinga wanatumia hela zao hivyo nahitaji kubaini wapi kuna hitaji, kipi naweza kufanya na hapo ndipo ntaenda na kuwekeza fedha zangu.”

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. anajipoza, hakuna wa kumkaribisha zaidi ya hawara yake na team ya domo.

    ReplyDelete
  2. watanzania hawana njaa ya kumkaribisha wanampa kiki ajione kafika, bi sandra jiiiiiiiiiiii.

    ReplyDelete
  3. kwendraaaaaaaaaaaaaaaaaaa, hakuna wa kukukaribisha unajipendekeza sana, dai anakuvutia pumzi uzaendo utawajua wabongo walivyo.

    ReplyDelete
  4. HATA HAO WANAOKUANDIKA KILA DAKIKA WATAKUJA KUKURUKA KAMA MAVI. LEGEZA MDOMO KAMA UMEKUNYWA UJI WA MOTO.

    ReplyDelete
  5. Wabongo bwana...mmekali majungu tu mitandaoni...jirekebisheni wacheni wivu tujitume tufanikiwe na sisi sio kukaa kukandia wenzetu.

    ReplyDelete
  6. COMMENT ZA WATU WENYE IQ NDOGO SHDA SANA NI KUANDKA UJINGA BADALA YA FKRA ZENYE KUJENGA! WIVU TU! KEEP UP MAMA ZARI! MJINGA ALWAYS HANA JIPYA! M-BONGO KWA UVIVU WA KUFKIRI MTIHAN ALIOFAULU KWA GRADE ''A'' NI MATUS! SHIIIIIIIIIIIIIDA SANA BADLIKEN!


    ReplyDelete
    Replies
    1. WEWE UMESEMA KWELI WANA GRADE A YA MATUSI SIJUI YANAWASAIDIA NINI. JANA MWENZAO KAINGIZA PESA SI MCHEZO. ANA MAWAZO MAZURI NA MBUNIFU SANA NIMEMPENDA. WAACHE WATUKANE TU KWENYE MITANDAO !!!!

      Delete
  7. majungu unayajua wewe unaejipendekeza hata laki huna, na wivu anao mama yako kwakuwashwa na dingi wako. nyambafu

    ReplyDelete
  8. majungu umeyakalia wewe chini ya matako yako.

    ReplyDelete
  9. Nakuunga mkono mdau6:23pm

    ReplyDelete
  10. Hawawezi kufanyikiwa na roho zao mbayaaa watanzania ndo zao kukali majungu kwenye mitandao na kutukana ambao haujui mwenzenu kafika tu ona katafuta frusa unafikili kaingiza bei gani? Nyinyi majungu na njaa zenu mtakufanazo na roho zenu mbaya Mungu alompa kampa tuuu.

    ReplyDelete
  11. Kazi ipo fanyeni kaz wabongo, kama nyota inawka inawaka tuu

    ReplyDelete
  12. Akafie huko kwao Uganda..Ana nini ambacho sisi TUTAHITAJI? kAMA NDO HAYO MADAWA YAO YA KULEVYA, AKAWAUZIE MALAYA WENZIYE HUKO KWAO. Utajiri wa madawa ya kulevya, mnajifanya mnaimba.Kwendeni hukoooo

    ReplyDelete

Top Post Ad