Zari's Family Has already Arrived in Dar es Salaam, Ready for The All White Party Tonight..PHOTOS

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Zari Earlier today with her familia at Julius Nyerere international airport, they are here to support Zari's all White Party Tonight at Mlimani City Conference Hall..#Great Love

 Zari and Sisters

Zari and Mum


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mbona woote weusi kumbe hata zari anatumia mkorogo kama wema. lol

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe unataka wote wawe kama zariii mbona mamake white

      Delete
  2. maskini diamond, ndo atajua waganda hawataki mchezo, watamla mpaka mwanzo mwisho.

    ReplyDelete
  3. STATE HOUSE IMEINGILIWA WOOTE WAKO KWA DOMO KULA KULALA. POLE BI SANDRA NDO MAANA HUISHI KUUMWA KWA MAWAZO.

    ReplyDelete
  4. She is the only one who is light skinned.Wengne weusi plus camera kusaidia.Anyway let me hope that whitening stuff u used won't harm the baby u r carrying!

    ReplyDelete
  5. Kazi ipo kwako wewe mbeya unayeumiza kichwa kwa ajili ya kufatilia maisha yake Dangote. Kwanza uwezo wa kuhudumia wageni anao pia wanashow love kwa ndugu yao wewe kinachokuuma nini?. Wewe hata wageni utakuwa hupati kila wakipanga kuja kwako ni kuwapiga kalenda tuuu na kwa ubahili na uchoyo wako watakuwa hata chai hawapati wala msosi. WAGENI BARAKA WEWEEEE. WHEN U GET A CHANCE KILL IT UP TO THE MAXIMUM. Let her relatives enjoy with Zarimond in Zari all white party. On that haters side prepare for your..........the all black party..
    EVEN GO`S BOOKS SAY THAT JEALOUS PEOPLE NEVER WIN. SMS TO ALL HATERS

    ReplyDelete
  6. hata mm nimeliona ni sindano au kila mtu na baba yake, au migorogo.

    ReplyDelete
  7. bi kizee anajichubua kama si kujipiga sindano. halafu wanamsema Wema, kumbe nyani haoni kundu lake.

    ReplyDelete
  8. koma bibi wewe ulikuja kwangu ukaona hakuna wageni usijinye kujua huku mkundu unamiraba 4. hiyo part hainuhusu na wala siwezi kujipendekeza kwa mama jitu zima lenye watoto 4. mmbea hasidi mfataani. 5.05 pm

    ReplyDelete
  9. Duuuh wamechokachokaaas
    Angalia magoti yake na USO ndo utajua.
    Anaongezea

    ReplyDelete
  10. Zari ana bbabake! Wame match na mkwewe kila MTU babake

    ReplyDelete
  11. Haya familia nzima ya watu 5 sijui 6 wanakuja kutoka Uganda kuja kuhudhuria Party, na Bwana Misifa ukute ndio kagharamiwa. Sijui kawalaza hotelini au huko kwenye hekalu lake? Mwee kuna makabila mengine Afrika hawana haya hata aibu, hivi mnaendaje mahali ambako mtoto wenu hajaolewa wala hajatolewa mahari? Mama hasa unafunga safari kwenda mahali ambako mwanao anaishi na hawara yake? Pyeeeeee aibu makabila mengine pesa mbele ustaarabu baadae.

    ReplyDelete
  12. Sasa huo uhindi wao na usomali na utusi mbona hauonekani? Watu wabantu kabisa kuanzia mama mtu mpaka nduguze, yeye mwenyewe kajiplastikisha (Kafanya Plastic Surgery) kuanzia pua, kisha kajitia mkorogo halafu anadanganya watu kuwa eti amechanganya damu ya uhindi, usomali sijui na utusi. Nyie hizo damu za hayo makabila haziongopi Zari angeambulia hata nywele za singa kama kakosa rangi. Hana nywele wala rangi hana na pua ya plastic surgery kweli Diamond kaliwa mchana kweupeee.

    ReplyDelete

Top Post Ad