Dotnata Aingilia Ugomvi wa WEMA SEPETU na KAJALA...Amuomba Mungu Haya Yatokee

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwigizaji mkongwe, Husna Posh ‘Dotnata’ ameengilia kati ugomvi kati ya mastaa wa Bongo Movies, Wema Sepetu na Kajala Masanja kuwataka waachane na hali hiyo kwani bifu lao halina faida kwao na katika jamii.

Akizungumza na Tanuru la Filama hapo jana, Dotnata alisema kuwa  kwa akili ya kibinadamu ugongvi huo hauwezi kuisha  kutokana na kila mmoja kumuona mwenzake ndiyo mbaya.

Namuomba Mungu kila siku ili Wema amsamehe Kajala na Kajala amsamehe Wema ili maisha yaendelee kwani kwa akili za kibinadamu imeshindikana hivyo na nitaonana nao baada ya maombi yaha kwani natambua hakuna jamabo kubwa lisilo na mwisho, hasira zaozina mwisho” alisema Dotnata.

Dotnata pia alimtaka Wema ambaye ni sawa na mwanaye kuwa wa kwanza kumsamehe  Kajala kwani kwenye ugomvi ni vizuri mmoja wapo ajishushe na kujona ni mkosaji kinyume na hapo  hakuna ambacho kinaweza kufanyika.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad