Haya Sasa Hapa Nimekuwekea Video Mpya ya Ali Kiba 'Chekecha' Ambayo Ndio Gumzo Mjini Kwa Sasa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Zilipita pichaz na vipisi tu lakini hii ndio video kamili ya Ali Kiba ‘chekecha‘ ambayo imefanywa South Africa wiki kadhaa zilizopita… ukishaitazama uache maoni yako kwenye comment Ali Kiba na team yake watapita kuona nini mashabiki wanasema.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Siyo kwa twist hizo Na mateke hayo King! Best performer tehe tehe!!!! Mi shabiki wako inabidi nimeze panadol Tu nivumilie maumivi miezi minne video ndiyo hii?

    ReplyDelete
  2. vidio ni nzurisana Kiba kajitahidi. hongera zake.

    ReplyDelete
  3. SOO NICEEEEEEEEEEEE, INDEEEEED

    ReplyDelete
  4. imependeza kwakweli Ali kuwa zaidi mbunifu utafika mbali.

    ReplyDelete
  5. Nampa hongera sana Kiba kajitahidi sana na vidio ni nzuri, haina makolombezo meeengi.

    ReplyDelete
  6. ITS CLEAR AND NICE ONE.

    ReplyDelete
  7. penda sana Ali kiba na hii nyimbo ni nzuri.

    ReplyDelete
  8. BAD VIDEO LOW QUALITY!!!

    ReplyDelete
  9. Kwa level yake kajitahidi ila usirudie kosa hakikisha audio Na video zinatoka pamoja audio mwezi wa pili mwishoni video mwezi wa sita mwishoni looh halafu eti King! King kacchokaaa!!

    ReplyDelete
  10. ni nzuri sana imependeza we acha tu

    ReplyDelete
  11. Video hii Kama wanjera good quality lakini kilichomo ndani uuh! Kiba kwenye video ajipange Sana style ya kucheza moja Kama kwenye mwana hao wadada wanacheza kwa nguvu,mashabiki mpeni ukweli ajirekebishe ndo ataweza kufika mbali.

    ReplyDelete
  12. kila mtu ana staili yake, hawezi kumuiga Dai kila vidio anarusha miguu mbona humuoni? Kiba kajitahidi hapendi vidio iwe na makororo meengi.

    ReplyDelete
  13. Wimbo mzuri....... Video baaaaaaaaaaado sana!!!!!! Kaza buti.

    ReplyDelete

  14. (h) Hongera. Imekaa poa

    ReplyDelete
  15. kiba bado sana wimbo mzuri video mbaya sana, bado jitahidi

    ReplyDelete

Top Post Ad