JACK WOLPER Alia na Soud Brown wa U-Heard..Adai Udaku Wake Usio na Usibitisho Unawakosesha Pesa za Matumizi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Pozi hili limuendee soudbrown popote alipo pale unaposikiliza udaku wake alafu peke yako naunatafakari kwanini kafanya mambo meusi kama haya haha Soud acha mambo meusi uwaga unatupa mtihani tukichepuka kidogo tu habari radion natalaka za week zinatuhusu no busu na call no matumizi sasa bora vyote vifanyike ila swala lamatumizi liwepo lakini vyote vinapotea kwa udaku wako usio nausibitisho soud acha mambo meusi ..maana ukinipgia cm sku hzii na hvi namba zako zote nimezisave ata kma una deal yako unataka msaada wangu sitowaza hvyo nitawaza tuu mambo yako meusi jirekebishe kidogo kua nasubra Soud unatuponza Mimi ajanifanya ktu lkn nameambia tuu mapozi tunayokaaga tena mimi ananistrigi kweli kweli ndo nachompendea

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ndio madudu gani hayo kaandika?

    ReplyDelete
  2. huyo zarina hana jipya/kipya kwenye mwili wake kawaida zaidi ya sana, hakuna cha kuvutia hapo.

    ReplyDelete

Top Post Ad