google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Jokate Yamkuta Makubwa...Ashushiwa Mvua ya Matusi Kutoka Kwa Mashabiki Wake Baada ya Kufanya Hili | UDAKU SPECIAL

Jokate Yamkuta Makubwa...Ashushiwa Mvua ya Matusi Kutoka Kwa Mashabiki Wake Baada ya Kufanya Hili

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanamitindo  na Msanii wa Bongo Fleva, Jokate Mwegelo, maarufu kama ‘Kidoti’ amejikuta akiambulia matusi ya nguoni kwa kosa la kumpongeza msanii mwenzake wa Bongo Fleva, Ali Kiba baada ya kutwaa tuzo tano za Kili Music Awards zilizotolewa mwezi huu jijini Dar.

Mwanadada huyo ameioga mvua hiyo ya matusi katika akaunti yake ya Mtandao wa Kijamii wa Intagram kwa watu tofauti kwa kile kilichodaiwa kuwa anahaha baada kuachwa na Mbongo Fleva, Nassib Abdul ‘Diamond’ ambapo ameamua kufanya hivyo ili kuupoza mtima wake na kwa sasa kuna taarifa kwamba Ali Kiba ndiye anayemmiliki mtoto huyo.

Baada ya kutokea ishu hiyo, Mwandishi alimtafuta Jokate ili kusikia anazungumziaje hilo ambapo alisema: “Nashindwa kuielewa jamii inataka mtu aishi vipi, lakini yote kwa yote siwezi nikamkandia mtu kwenye muziki wake, kwa upande wangu mimi ni shabiki wa Ali Kiba kwa sababu ninapenda kazi zake na hakuna wa kunizuia kufanya chochote juu yake.”
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hahahahaha akaoge huyu hana jipya,wivu utakuua diamond forever

    ReplyDelete
  2. UNAPOKUWA MAALUFU JIFUNZE KUWA MJANJA WA KUJIBU MASWALI HASA YALE YA KIUCHOKOZI, USIKURUPUKE. TUMIA KICHWA C MOYO

    ReplyDelete

Top Post Ad