Kumbe Zari Anajua Kiswahili ..Mambo Yamfika Shingoni Soma Alivyoamua Kuwapa VIDONGE Wanaomsema Vibaya.....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Shemeji yetu Zari ambaye ni mrembo kutoka Uganda ambaye toka amekua mapenzini na Mtanzania staa wa bongofleva Diamond amekua akipokea comments tofautitofauti kwenye page yake ya Instagram, June 28 2015 ameamua kuyaandika haya tena mengine kwa kutumia lugha ya kiswahili baada ya kushindwa kuvumilia.

Waliomkasirisha ni wale wanaokosoa uvaaji wake na kuendelea kumfatilia ambapo alianza kwa kuandika >>>’Mnikome, maisha yangu yanakuhusu nini wewe, nayako hayanihusu mimi kabisa ata kidogo….oh sijui high heels, mara nguo imembana, sijui anapikia heels,pili pili hujakula wewe inaakuwashia nini? Mvae madera zenu mfunge mkanda mpite kimya kimya. Kwanini unastress????‘


Ameendelea kwa kuandika mengine kwa kiingereza na nitatafsiri kwa wino mwekundu>>> ‘HAYA NI MAISHA YANGU na sasa your all Gods’ judges now…. how many people do we know that wear hijab but have very dirty ugly hearts? (ni watu wangapi tunawajua wanavaa Hijab lakini mioyo yao sio misafi? ni wangapi wenu mnaigiza kuwa wasafi kwenye hizi siku 30 lakini miezi 11 iliyobaki ni waovu? )How many of you act so straight for these 30 days but the last 11 months your the worst monsters this world has ever seen’


Kwenye sentensi nyingine kaandika >>> ‘Now u wana come here and judge my faith by the dress???? (sasa mnakuja kujudge imani yangu kutokana na nguo? Allah bless all of you….atleast I ain’t acting snitchy, am being ME. And oh🙋, if you happen not to like what you see in ur news feed (my page) U always have 3 options, Block yourself, unfollow ama fast forward coz if your still following na you exercise your fingers kuwakya matusi page yangu, babe your just an obsessed fan if not a confused admirer dah majirani Habari nakazi mnayo……like I always say, no bad vibes from me. So stay blessed

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Msenge kweli asisemwe ye nanii apite hivi bibi bomba mzimaa anaona anayofnya niya mana mxuuuu

    ReplyDelete
  2. yeye ni kama nani asiambiwe

    ReplyDelete
  3. WAPE MAMA VIDONGE VYAO. YA KWAO YANAWASHINDA WAMASHUPALIA YA WATU. WAKOMEEE KABISA

    ReplyDelete
  4. UTU UZIMA INAMUANZA SASA ANAWASIWASI NA DOGO, ANAJUA NN KITAENDELEA JAPO ANAJITAHIDI SAAANA AONEKA ANAMPENDA, ATASEMWA TUU AACHE KUJIFARAGUA SHANGAZI

    ReplyDelete
  5. jitu zima ovyooo, analaana ya kumvulia mtoto wa miaka 25 chupi. menoposs inamuanza

    ReplyDelete
  6. acheni ujinga wenu fuateni ya kwenu, mwacheni na ya kwake. kwani kinachowauma ni nini? inawahusuuuuuuuuuuuuuuuuuu?

    ReplyDelete
  7. Na wewe ni kama nani umwambie!!! Mara nyingi utakuta wanaoandika haya matusi hawana lolote alafu they cannot even dress...kwa hivyo the only place wanawea kutupa poison ao ni hapa kwenye mitandao ya kijamii....SHAME ON YOU!!!! Keep on smiling ari and show them you are what you are and no apologies for idiots!!!

    ReplyDelete
  8. HAPO HAKUNA VIDONGE ALIKUJA KWA MOTO WA KIFUU AKUBALI KILA LITOKEALO.
    HAHAHAHAAH KITENDO CHA KUJIBU TU KIMEMSHUSHA KUONYESHA KUWA ITA HURTS HER.

    LOL SILENCE IS THE BEST WEAPON ZARI

    ReplyDelete
  9. NA ANEMUANDIKIA HAYO MANENO YA KISWAHILI YA TANDALE NI DAI. ANAFIKIRI ATUJUI BUT AKUMBUKE HAYO MADERA HATA MAMA YAKE BI SANYURA ANAYAVAA, NA YALOMLETA BONGO AKAVULIWA CHUPI KWA WIKI TUU ETI ANAMIMBA. LOL

    ReplyDelete
    Replies
    1. wiki mbili kuwa na mimba huo ndo uanamke ulitaka akae miaka mingapi!!!!! MWANAMKE STRONG HAOGOPI KITU NDO MAANA KABEBA MIMBA SI NYIE MNATOA KILA MARA NDO MAANA SASA MWAHANGAIKA POOOOOOOOLEEN SANAAAAA. FAHARI YA MWANAMKE NI PESAAAAA NA WATOOOO.

      Delete
  10. wiki mbili kubeba mimba kwani ni mmeo au umalaya na tamaa ya vitu vya Dai. hamjui anafikiri atamla kumbe kaliwa. na wewe 12.57 PM. ukome kudandia trin kwa mbele. alotoa mimba mama yako kwa kujirahisha kwa wanaume. UKIMWI UNAWASUBIRI KWA KUPANUA MIGUU HARAKA

    ReplyDelete

Top Post Ad