google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Wizkid naye asusia tuzo za BET kutokana na ubaguzi kwa wasanii wa Afrika | UDAKU SPECIAL

Wizkid naye asusia tuzo za BET kutokana na ubaguzi kwa wasanii wa Afrika

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Staa wa Nigeria, Wizkid ambaye alikuwa akiwania kipengele cha Best International Act:Africa katika BET Awards 2015, ni msanii wa pili aliyesusia tuzo hizo zilizotolewa Jumalipi iliyopita huko L.A, Marekani.

Baada ya Fuse ODG kutweet akisema sababu zilizomfanya asihudhurie utolewaji wa tuzo hizo, Wizkid naye amesema hatakuwa akihudhuria pre-shows na nominee parties kama utaratibu wa kuwapa tuzo wasanii wa Africa mapema kabla ya show yenyewe (saa 4 asubuhi) backstage utaendelea.

Alianza kwa kutweet:

Lol, nasikia BET wamemaind kwa sababu sikuhudhuria pre-shows na Interviews! LOl


Wizkid ameongeza kuwa utaratibu wa kuwabagua wasanii wa Afrika katika tuzo hizo ndio ilikuwa sababu ya kutohudhuria hata aliposhinda tuzo ya BET kwa mara ya kwanza.

Ameongeza kuwa hiyo ndio sababu kubwa pia ya kutopost kitu katika mitandao ya kijamii kuhusu nominations au tuzo hizo kwa ujumla sababu yeye hajali.

Hizi ndio tweet zake:





-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad