Aunt Ezekiel: Nitamuunga Mkono Wema Sepetu Katika Safari Yake ya Kugombea Ubunge

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Diva  wa filamu Bongo ambaye kwa sasa ni mama wa mtoto mmoja anayetambulika kwa jina la Cookie, Aunt Ezekiel, amefungukia kuhakikisha anampa sapoti ya nguvu shosti wake, Wema Sepetu katika harakati zake za kuwania ubunge.

unt amesema kuwa pamoja na kwamba yeye hafahamu siasa hata kidogo na hatarajii kujiingiza huko, lakini anatambua Wema ameamua kutangaza nia ya kugombea, hivyo kama rafiki yake mkubwa atahakikisha anazunguka naye kila sehemu ili kumsaidia atimize ndoto zake za kuingia mjengoni na kuwatumikia wananchi wa Singida.

“Kama rafiki wa Wema nitahakikisha nampa sapoti ya nguvu rafiki yangu hadi aingie mjengoni, japo kuwa mimi binafsi sipendi siasa na sitaki kujiingiza huko,” amesema Aunt Ezekiel.

Wema ni mmoja kati ya wasanii waliojitokeza katika kinyang’anyiro cha kutangaza nia ya kugombea ubunge wa viti maalumu jimbo la Singida Mjini kwa tiketi ya CCM.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mama Cookie lea mwanao. Achana na gume gume lililopigwa chenga na maisha. Lina uchungu na mengi ndio maana limeamua kuhamia siasani. Hapo ulipokaa hukuwa kero ya harufu ya k yake?? Maana imechokaaa ww fikiria mpaka mbwa wake mmoja kalala mbele maana harufu ilimshinda. Kainusa na kuigegeda mwisho kaamua kusepa. Tena usimpe mwanao ambebe wala am baby sit. Atamuambukiza upundamilia buree

    ReplyDelete
  2. Duh!Kweli walisema"Akutukanae hakuchagulii tusi"

    ReplyDelete

Top Post Ad