google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Basi la Sabuni Express limegongana na gari la Kanisa Katoliki. Ajali imetokea Bugorora Kyaka Wilayani Misenyi. | UDAKU SPECIAL

Basi la Sabuni Express limegongana na gari la Kanisa Katoliki. Ajali imetokea Bugorora Kyaka Wilayani Misenyi.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ajali mbaya imetokea eneo la Bugorora Kyaka leo, inahusisha Basi la kampuni ya Sabuni lililokuwa likitokea Karagwe na Land Cruiser ya Kanisa.

Taarifa za hawali zinasema watu si chini ya watano wamepoteza maisha kwenye eneo la tukio.

Basi la Kampuni ya Sabuni linalofanya safari kati ya Kagera na Mwanza limegongana na gari ndogo aina ya Land Cruiser iliyokuwa na mapadre na masista katika eneo la Bugorora nje kidogo ya Kyaka wilayani Misenyi mkoani Kagera.

Basi hilo nambari za usajiri T650 BFI na Cruiser T166 AGU ambapo waliotajwa kupoteza maisha kwa taarifa za awali ni Padre Onesmo Kahabwa na Michael Mwelinde pamoja Sista Magret Tadebe ambao ni wa Parokia ya Katoke waliokuwa wakitokea Rulenge wilayani Ngara.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mungu awalaze mahara pema peponi waumishi wa mungu tuwaombee

    ReplyDelete

Top Post Ad