AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
KUMEKUCHA: Siasa ni tamuu! Nasikia Dr Wilbroad Slaa amekataa katakata kukubaliana na maamuzi ya kumleta Lowassa Sijui ni kweli Au?!
Anasema bora akae bila Chama kuliko kukaa chama kimoja na Lowassa. Na inaonesha anaungwa Mkono na Lissu, Mnyika na wengine wengi. Utakuwa mchezo wa kupishana huyu anatoka huyo anaingia! Ngoja tusubirie tuone mwisho wake
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Slaa ndio kugombea urais basi tena!!!
ReplyDeleteHii ni minutes tu ya Kuku behind chama cha mafisadi, gear imeshabadilishowa angani. Tusubiri miezi miwili tu. Ukawa inachukua nchi
ReplyDelete