Davido atoa uthibitisho mwingine kuwa hakuna ‘beef’ kati yake na Diamond

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Bado una wasiwasi juu ya maelewano kati ya muimbaji wa Nigeria, Davido na Diamond? Pamoja na Diamond kujibu kwenye Interview mbalimbali kuwa hawana tatizo, Davido naye ametoa uthibitisho mwingine kuwa hakuna ‘beef’ kati yao.

Ni jambo gumu kupost kitu kinachomhusu mtu ambaye hamna maelewano, ndio maana kwa post hii ya Davido watu wanapaswa kufahamu kuwa jamaa hawa wawili wanaiva chungu kimoja, na tutarajie kuwaona wakitumbuiza tena pamoja kwenye tuzo za MTV mwezi huu.

Baada ya MTV kutaja majina ya wasanii wa Afrika watakaotumbuiza wakati wa utolewaji wa tuzo za MAMA akiwemo Davido na Diamond, Davido alipost picha ya performance aliyofanya na Diamond mwaka jana kwenye tuzo hizo.

Katika picha hiyo ameandika:

“PERFORMING AGAIN LIKE THIS AT ‪#‎MTVMAMA2015‬ !! TOO MUCH BLESSINGS…”
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nyie sio ndo mnapenda beef,mwenzenu ameshakua vegetarian ,nyie watanganyika endeleeni na beef zenu mtoke vizuri matako alafu watu wawaemee kisogoni,sababu mmezidi kuwa na roho mbaya kupenda kuona watu wanagombana.

    ReplyDelete
  2. people think of money!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad