google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html DIAMOND Ampiga WEMA SEPETU Dongo Moja Kali Sana Baada ya Jina Lake Kukatwa Ubunge Viti Maalum | UDAKU SPECIAL

DIAMOND Ampiga WEMA SEPETU Dongo Moja Kali Sana Baada ya Jina Lake Kukatwa Ubunge Viti Maalum

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kweli Mwanamuziki Diamond ni Mtoto wa Uswahili yaani akosi kitu kipite......
Hili ndio 'dongo' ambalo Diamond amtupia Wema Sepetu baada ya kushindwa uchaguzi wa viti maalum CCM.....

Hili ndogo ni la pili baada ya lile la kwanza alilompiga Jokate wakati alipopata tuzo ya MTV...
Je kuna ulazima Diamond Kufanya Hivyo ?
Toa Maoni yako Hapa chini:

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

32 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. sasa hapo kapiga dongo gani?kawashukuru wana Singida ,wewe sasa mchonganishi.mtajibeba mwaka huu,haki huyo mwana dada angeshinda tu basi ningeizarau sana ccm ya leo mbura😆🙏Asante mungu malipo hapa hapa duniani msifikiri mtalipwa mbinguni no ni hapa hapa.

    ReplyDelete
  2. Utoto akikua ata acha!!!!

    ReplyDelete
  3. Utoto akikua ata acha!!!!

    ReplyDelete
  4. Acheni udaku kwani kila anachosema lazima kiwahusu hao

    ReplyDelete
  5. hanithi tu dai. anamambo ya kike sana. na bado anahaha kwa Wema

    ReplyDelete
  6. amshukuru mama yake kwa mfanya awe kama demu wa tandale.

    ReplyDelete
  7. kwani anafikiri Wema atafulia? mwenzie kasoma sio kama yeye, anaiga kizungu cha kuunga unga. alee mtoto wa baba 3.

    ReplyDelete
    Replies
    1. kujua kingererza sio kusoma hiyo ni ligha ya kawaida tu. Samuel etoo hata cha kusalimia hakijui.mtanyoooka tu

      Delete
    2. Kasoma na kuhitimu umalaya kama anonymous 2:17. Wewe mtoto wa baba 4. Tutafunguka! Kwani nani hana faili la mama ako??

      Delete
  8. BADO ANAMTAKA WEMA, ANAJUA BI KIZEE AKISHA ZAA ATAMMALIZA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Amtake Wema kwa lipi hasa?? Wee anonymous 2:18 kajambe kuleee usituchafulie hali ya hewa hapa. Kubali usikubali. Wema kwishnei. Eti alitaka kuingia bungeni..Nani kwamwambia kule watu wanataka machangu wasiojitambua kama yeye?? Hana uwezo wa kuvaa chupi ndio atakuwa na uwezo wa kuwakilisha singida?? Alitaka kwenda kunoa majando ya watu Dodoma kwa kupitia ticket ya viti maalum. Hahahahaha Hizo kura 90 zimetoka kwa Petit man Kadinda na wapuuzi wenzake. Akacheze michezo ya kuigiza apata hela ya mkorogo na kulipiga kodi. hahahahahahahahah

      Delete
    2. We anonymous 2:18 Bi mama ako. Dai amtake tasa? Kuliko amtake gumba bora amtake mama ako.mcxxx

      Delete
    3. Kwani wema alivyokuwa anawapigia kura kina Davido na Ali Kiba alikuwa bado anamtaka Ndomo?? Anonymous 2:18 kakojoe ulale.

      Delete
  9. anapenda kugombana na maa x wake. shule ndogo sana kichwani, pole zake.

    ReplyDelete
  10. anauchungu sana wa kuachwa na Madam, hajiamini na hakutegemea, Shangazi hamfurahish kwenye 6x6.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mlete mama ako amfurahishe kwenye 6x6.

      Delete
  11. Udaku kwa uchonganishi mko vzur WCB president ana Fu**k wazungu ckuhiz and he will nver think those mind older x-girl friend who still have feeling for him which made them hate
    him😘.i believe he doesn't have time kabisa na hao ma X so ushauri waangalie yao na wakifanya mchezo watanyooshwa 😂.viva Diamond wakuache na baby wako ma kijacho.

    ReplyDelete
  12. Uko juu Diamond na endelea kuwa nyoosha viva viva Wasafi

    ReplyDelete
  13. kitu gani alichokisema kibaya kinachomhusu wema? au ndo uchonganishi? nani asiyejua kwamba dai alikuwa singida? acheni ushenzi wenu kila kitu negative kwa dai. fanyeni yenu mabulula nyinyi.

    ReplyDelete
  14. Dai oyeeeee. Singida oyeeee. Wapiga kura oyeeeeeee. madam ziiiiiiiiiiiiiii.

    ReplyDelete
  15. hahahahahahahaaha.......Diamond juuuuu. Nani amtake mzee huyo bibi bomba pusi imechina mshenzi aende zake huko....

    ReplyDelete
  16. washenzi wa kubwa, mama zenu walipanu uchi wao kuwazaa nyie mnaomtukana wema, mnatamani muwe kama Wema, na aliwahi kushika mimba ya Kanumba so sio tasa ila huyo Domo wemu humjuilii ndo maana kapichikwa mimba si yake, mtanyooka nyie mnaotiwa nyuma, mahanithi msojijua, Shangazi hamjui mtoto ni wa nani Katunzi au...

    ReplyDelete
  17. Nasema hiviii...WAPUUZI huwa wanafikiria negative kila kitu na WAELEWA wameshaelewa alichosema diamond...Mimi ni team kiba damu lakini kwa hili ndugu zangu alichosema Diamond sio kitu kibaya.Sote tunajua alikuwa Singida kwa shoo na nilazima Ashukuru kama wasanii wengine wanavyofanya.Hakumtaja wema ila akili za WASHENZI ndo zinnaunda picha tooofaut.BADILIKENI

    ReplyDelete
  18. Diamond bila skendo hana hit
    Diamond bado haja move on ndiyo maana kuuutwa yuko matakoni kwa ma x zake
    Diamond bila Wema hajiwezi

    ReplyDelete
  19. hakuwa singida that day.

    ReplyDelete
  20. 8:21 Nakupa shukran kwa maoni yako.chuki za bure hizo .fitina tupu.
    hamutaendelea

    ReplyDelete
  21. unatisha diamond hauna mpinzani

    ReplyDelete
  22. Jitaidini kwenda shule jaman...elimu inasaidiaa...mmmmmhhh ithankx my parents kwa haka kadegree kangu sio sawa na alieishia std seven... hehehehehe nothing like education aiseee....

    ReplyDelete
  23. mmmh mmezidi ugombanishi sasa hapo Dai kakosa kuwashukuru wana singida? hivi mnafaidika nini hasa hao watu wakigombana au wasipoongea mnafaidika na nini? kura 90 kapata je nyinyi mmeshapata hata kura moja?! yeye kajaribu na nyie jaribuni basi tuone acheni uchochezi na hivi hawa watu wa TCRA jamani shemeji yangu Mungi hamuyaoni haya?! wafungieni hawa watu wanaochonganisha wenzao na matusi chungu nzima wasio na haya utafikiri hawajazaliwa!!! khaaa hebu wafungieni jamani

    ReplyDelete
  24. tatizo letu maadili yamepungua sana.Baadhi ya mambo tunayafanya bila hata ya kumuogopa MUNGU, Kukua na kulelewa katika familiya zinazomjua Mungu inasaidia. TUBADILIKENI JAMANI

    ReplyDelete
  25. sizan kama kuna dongo ukumbuke diamond kabla hajaenda moshi kwenye show alianzia singida so ile ilikuwa shukran kwa fans wake kwa votes and supporter..... nampongeza wema kwa kuthubutu coz cvs imeongezeka pia nampongeza diamond kwa kufanya kazi nzuri sema wanabroger tusichonganishe #MTANYOOKA TU

    ReplyDelete
  26. Diamond huo mdomo wanaohuita domo endelea kuutumia vizuri bila huo usingeitwa diamond maisha ni mdogo mdogo watanyooka tu.

    ReplyDelete

Top Post Ad