Hili Ndilo KOSA Kubwa Alilofanya LOWASSA Mpaka Jina Lake KUKATWA Tano Bora...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwa Mtazamo wangu Lowassa amefanya kosa kubwa sana kutowekeza Mtaji wake kwa Wakataji wa Majina ndani ya CCM , Lowassa Aliwekeza sana kwa Watu wa Nje na mashabiki wake kiasi cha kupendwa kila kona na kusahau kuwa Wakataji wa Majina si Hao Wananchi wanaomshangilia kwa nguvu huko nje kila anapopita....Kwangu hilo ndio kosa kubwa kwa Lowassa...JE wewe Unaona ?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Boya wewe admin post gani hizi give out evidence if you have Pu**Y

    ReplyDelete
  2. uraisi siyo simba na yanga!

    ReplyDelete
  3. Cio siri lowassa anakubalika sana but jamaa wamefanya kila hujuma kumwondoa na wamefanikisha kumpitisha membe, ,,,,,, sasa lowassa hamia ACT ttakupigia kura

    ReplyDelete
  4. walaaa hao wananchi unawaongelea si wote, wananchi ni umma wananguvu kushinda hata hao unawaona ndio kama wanausika, Lowasa ana maskandali mengi, angekuwa bora kabisa umma wote ungepigania,

    ReplyDelete
  5. Kwa nini munaumizw na ukataj jina wa Lowassa? hamun ungin alie katwa jina ni yeye pekeake? kuanzia mwanz mpak mwish munampak mafut sasa hivi mutampak vipi? mimi sio mtanzania ila anaye stahili kuwa rais wa Tanzania ni Bernard Membe huy jama namkubali, ni mtu asie tishik ambae anamsimam thabit asie ogop kusem ukweli. Huy jama atayifany inch iendelee kuheshimik hasa huu wakat wa inch zingin ziko na tabia ya uchokoz na huy jamaa atawap adab wal watakao thubut kuchokoz Tanzania. Kam nyiny udak hamjui kit tazamen pand zote. Kupit kwa Membe walion kam kuna uchokoz wa inch zingen ambaz zin nia mbay na Tanzan sasa wakaona hakun mtu mwingin yul anawez weza kufany kit kama mwalim Nyerere alipo mpa adab Idi Amin Dada. Na Membe anauwez wa kufany vil vil kwa yul atakay thubut. Hicho njoo kitamtia Membe ikulu kubal usikuba ukwel ni huuuu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. we mtu hzo sababu zako n za kitoto sana yani kweli unaakili fupi

      Delete
  6. Mwenyezi Mungu siiku zote Ndo mpangaji wa mambo....Mungu Akitaka udhalillike utadhalilika tu..no matter what!!!..bora hiyo mali yake angeiweka na akatubia kwa Mola wake..lakini alivyomwagia watu pesa na kuwablame watu ili wamuone innocent na pia asichaguliwe hiyo ndo itamfanya aonekane fisadi kabisaaa kwa mashabiki zake..imeonyesha hao wazee ndo wanamjuwa zaidi alivyomwizi na sio hao mashabiki wake wanje waliojikusanya kumsupport baada ya kupewa tukanga...ushari wa bure bora aachane na mambo ya siasa na ajikite ktk business zake..kama nilivyowahi kusema ktk comment yangu ya nyuma..angejitakasa mapema,hapo alipoambiwa aachie ngazi kwa kashifa ya ufisadi.tungekuwa tumeisha yasahau hayo ya tuhuma za wizi wa mali ya umma.. lakini sio sasa campaign na kujitetea kwa wizi haviendi pamoja..vinahitaji gap kubwa mno hata ya miaka 20..

    ReplyDelete
  7. Yaani hawa Watanzania wanangalia vijisenti vya msimu wanavyoonga, awangalii mustakabali wa Taifa hili, huyu Lowasa awe Raisi nchi si itakuwa imeishiwa kabisa, weee mtu kila kona anamwaga mihela tu maana yake nini? lakini kwanza ni mgojwa atumtaki raisi mgonjwa akapumnzike kuleee

    ReplyDelete
    Replies
    1. Zilizokamatwa Dodoma za Mhindi za nani msafi simuoni

      Delete
  8. kushnehi. nani atachagua fisadi, alidanganywa na TB Joshua fisadi mwenzie kuwa atakuwa Rais, mawee!

    ReplyDelete
  9. Kamati Kuu wagombea wenu Membe,Makamba na Migiro nje Magufuli ni Simba kula Majani akikosa Nyama

    ReplyDelete
  10. BORA WANANCH WALIVYOJIIPA KIDOGO HUTO TUJISENT TWAKE KWA KIPINDI HICHO KIFUPI LOL!!

    ALICHOTAAAAA WACHA NA WAO WAGAWANE KIDOGO.

    ATUPISHE AKAJIHUDUMIE KWANZA AFYA.

    WANANCHI WALIFATA PESA TU HAKUNA MAPENZI HAPO MDAU HAPO JUU USIJIDANGANYE!!!

    CCM OYEEEE
    KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.

    ReplyDelete
  11. we unaetaja kina TB Joshua kuwa ni mafisadi acha ufukunyuku. Mfyuuuuuuu kakojoe ulale.

    ReplyDelete
  12. tz bila ccm inawezekana. ila sio kwa mtu kama lowassa...
    angekua mgombea wa ukawa ni msafi kila mtu angechagua ampendae ila kwa lowassa hahaha
    mwambie lowassa akajinyee tena jukwaani

    ReplyDelete

Top Post Ad