Majina ya Wabunge Walioshinda Kabla Hata ya Uchaguzi October.....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwenye ukweli tuweke mambo ya vyama pembeni kwa maslahi ya taifa.
Kuna baadhi ya wabunge lazima warudi bungeni kwa ushindi wa kishindo na wengine hata wakionga migodi hawawezi kurudi mfano ni Tibaijuka na Asumpta Mshana.
Baada ya kuzunguka nchi nzima nikifanya research nimepata haya majina ya wabunge walioshinda kabla hata ya uchaguzi
.Sugu, Wenje, Lissu, Mnyika, Mbatia, Mdee, Joseph haule, Msigwa, Mkosamali na Kafulila

Embu na wewe nipe majina ya wabunge ambao tayari wameshinda kwa AJILI ya bunge lijalo
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

21 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. philikunjombe

    ReplyDelete
  2. Deo filikunjombe

    ReplyDelete
  3. Lembeli, Mbowe nk

    ReplyDelete
  4. Doe Filikunjombe yaani amewatendea wanachostahili wapiga kura wake!

    ReplyDelete
  5. Wema mkorogo kwa leseni ya machangudoa.

    ReplyDelete
  6. mtasoma namba tuuuuu jishauweni

    ReplyDelete
  7. Deo Haule Filikunjombe.

    ReplyDelete
  8. wakati mwingine mnafanya ushahid akinifu ndio mropoke,na wala haujatembea ila ni mapenzi yako

    ReplyDelete
  9. Filikunjombeeeeeee

    ReplyDelete
  10. Wote wa chama cha CUF kutoka Pemba

    ReplyDelete
  11. Wema sepetu na Zari

    ReplyDelete
  12. Hebu eleza kitaalamu siyo kihovyo hovyo tu. Hiyo research yako uliifanya kwa muda gani na maeneo gani na ulituma njia gani? Au umekaa nyumbani kwako ukawaza ukasema umefanya research? Type sample size yako na ulitumia njia gani kufanya data analysis na vipi kuhusu degree of confidence?

    ReplyDelete
  13. Deo Filikunjombe

    ReplyDelete
  14. LEMBELI KAHAMA KAMA CHIEF LAZIMA APITE

    ReplyDelete
  15. Slaa hatogombea ubunge?? Maana urais mshamuona hafai maskini kissa mtu mgeni ambae hajaipigania chadema hats punje

    ReplyDelete
  16. kwa CHADEMA SAWA, CCM tunawapima kwa matendo yao majimboni sio kuuza sura Bungeni

    ReplyDelete

Top Post Ad