google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Mtangaza nia ya Kugombea Ubunge Jimbo la Ukonga, Ramesh Patel Amekamatwa na TAKUKURU Akitoa Rushwa | UDAKU SPECIAL

Mtangaza nia ya Kugombea Ubunge Jimbo la Ukonga, Ramesh Patel Amekamatwa na TAKUKURU Akitoa Rushwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ramesh Patel Mgombea Ubunge Ukonga Dar, akamatwa na Takukuru akitoa Rushwa Check Point Pugu

Je kwa mfumo huu wa kutoa rushwa katika Hatua ya Kura za maoni na hata kampeni kubwa,wananchi wataweza kuwachagua viongozi bila ushawishi wa Fedha?na Kiongozi kama Ramesh Anatufundisha nini?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyo kazoea kupewa rushwa ya ngono na mamiss sasa naye kajaribu kutoa rushwa katika siasa,yaani hapo mjomba Lundenga meno yote njenje

    ReplyDelete
  2. Wanafiki tu nani hatoi bahashishi kutaka ubunge pesa zinaanza toka kutaka upitishwe kugombea ubunge, juzi tu Wema amelia kwa kupoteza pesa nyingi Singida.Tanzania hamna rushwa ni zawadi kila mtu anatoa na kupokea.

    ReplyDelete

Top Post Ad