Mwigizaji Lulu Michael Amwambia Wema Sepetu Haya Baada ya Jina Lake Kukatwa Ubunge viti Maalum

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada  ya  matokeo  ya Ubunge viti maalamu Singida kutoka na Wema Kupigwa chini, Lulu  Michael  amemtia  moyo  Wema  Sepetu  kwa  Kuandika  ujumbe  huu;
  
Kuna matokeo ya aina 3 
>>Kushinda
>>Kushindwa
>>Kudroo. 
  
Mpka hapa ulipofika Leo umethubutu kitu ambacho wanawake wengi ni waoga kujaribu wewe ni mshindi Dada yawezeka Kuna kingine zaidi Mungu amekuandalia 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Aisee kweli Kanumba alikuwa na haki ya kufia kidondani,Kwa hapo amekufa kishujaa

    ReplyDelete
  2. mnafiki mkubwa, huyu Andunje si alianza kumtukana Wema? leo anajifanya kumfariji, ndo maana harefuki kwa kuwa na roho mbaya.

    ReplyDelete
  3. utakufa umesimama lulu, leo unajifanya kumuandika Wema vizuri? huna haya jini maiti.

    ReplyDelete
  4. umetumwa na dai si bure lulu, kamtoe kafara yule alie kutia siku moja akakukimbia.

    ReplyDelete
  5. HUYU LULU ANGEANGALIA JINSI YA KULITOA JINI MAITI KWENYE MWILI WAKE KWANZA THAN AMSIFIE WEMA. MWENZIO ANADILI NYINGI UBUNGE NI KAMA GELESHA TUU.

    ReplyDelete
  6. lulu ni mnafiki kama Kajala. anauma huku anapuliza.

    ReplyDelete
  7. sasa dogo kakosea nini?wabongo mbona hamuishiwi maneno kama mkojo wa bia?kama yeye ni mnafiki ata wewe pia

    ReplyDelete
  8. enyi vijana wadogo chipukizi tafuteni mengine mazuri ya maisha kwa maendeleo yenu na sio kulumbana kwa matusi kama haya...kwani kuna mtu anafuta nini la msingi badala ya kunena facts za msingi na muendelezo wa maisha kwa ujumla,...Try to be nice all of u na midomo yenu michafu na siyo kwa ujinga bali ni ukosefu wa nidhamu,Ciao

    ReplyDelete

Top Post Ad