google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Mzazi Mwenziye Sugu Mahakamani Tena....Aamua Kudai Haki ya Mtoto wake yake Upya.... | UDAKU SPECIAL

Mzazi Mwenziye Sugu Mahakamani Tena....Aamua Kudai Haki ya Mtoto wake yake Upya....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Imelda Mtema
FAIZA Ally, ambaye ni mzazi mwenzie na mbunge wa Mbeya mjini kwa ‘leseni’ ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Mr. Sugu’ anadaiwa kukata rufaa na kurudi mahakamani kudai upya haki yake juu ya malezi ya mtoto wake.

Mrembo huyo mwenye vituko kwenye suala la uvaaji ‘alitinga’ mahakamani hapo sanjari na mwanasheria wake, ndugu na baadhi ya watu wa karibu kwa lengo la kupinga hukumu iliyotolewa awali katika Mahakama ya Mwanzo ya Sinza jijini Dar, iliyoamua kuwa hana haki ya kuishi na mwanaye (Sasha).

Hata hivyo, Faiza alikataa kuzungumzia suala hilo, kwa kile alichokiita… “suala liko mahakamani, tuiachie uhuru wake”. Kesi hiyo itaanza kuunguruma upya mnamo Agosti 18, mwaka huu.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mara ya mwisho huyo mtu kufikiria something postively ilikuwa lin?

    ReplyDelete
  2. Una haki sawa ya kuwa kalibu na mwanao huyo sugu anataka kukunyima haki yako tu tena kama ni mimi nakwambia kae nae tu kwani yeye ndie alienda leba kujifunguwa

    ReplyDelete

Top Post Ad