Picha: Zari the Bosslady Aonesha Ujauzito Wake Ulivyokua Kwa Mipasho ya Haja!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Zari The Bosslady ameshakuwa mswahili na huenda Taarab ikawa ni muziki anaousikiliza sana kwa sasa. Hiyo imeonekana kwenye picha nne alizopost (moja akiwa na mchumba wake, Diamond Platnumz) kwenye mtandao wa Instagram kuonesha jinsi ujauzito wake ulivyokuwa mkubwa. Tazama picha hizo na kile alichoandika.
11260430_123341838006995_1936020447_n
Alichoandika: Namaumivu yakizidi………. Wishing you all blessed week ahead, Good nyt
11373653_943084819082779_1562587470_n
Alichoandika: They say when you have it, flaunt it. Kwani kuna mtu kaibiwa??? Keeping it sexy and classy. #BabyBumpPhotoShoot
11351999_104770406541206_1765468179_n
Alichoandika: Kwa raha zetu…… vaeni madera, fungeni mikanda mpite kimya kimya Keeping it sexy and classy
11352117_525804417568038_2127135778_n
Alichoandika: Keeping it sexy and classy. #BabyBumpPhotoShoot


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. stop looking for attention, nobody give a f…….. what you are doing so get over it. ujifungue salaam manna umezidi kaaa!!!!!!

    ReplyDelete
  2. UZUNGU UKIZIDI WATU WANASAHAU KUWA MUNGU NDIYE MUAMUZI WA KILA KITU. KWELI PESA ILIMSALITISHA YESU.

    ANASAHAU KAMA SAFARI ALIYONAYO MWENYE KUIFIKISHA NI MUNGU TU.
    AKAE AOMBE SALAMA PESA HAITAFANYA AZAE SALAMA KAMA MUNGU HAJATAKA. USHAMBA BWANA. MXXXXXXXXXXXXXXXX

    ReplyDelete

Top Post Ad