AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
- “Hahaaha yaani leo nimeipata fresh, simu na msg ni nyingi sana wengi wanadhani natania!Niko serious jamani!endeleeni na maombi huwezi jua u could be the lucky one,” ameandika kwenye Instagram.
- “Ila ishu ya kutumia simu moja kidogo imeleta tafrani so inaonyesha michepuko ni mingi kwenye ndoa ila najua nikimpata wangu tutarekebibishana kuhusu hilo najua tutaenda sawa tu.”
- “Mpaka nimeshapata [maombi] mia tano leo tu kwahiyo naona muda si mrefu ntatangaza harusi ingawa wako kwenye mchujo,” amefafanua.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK