Batuli 'Amwaga Machozi' Baada ya Picha zake za Nusu Uchi Kusambazwa Mitandaoni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Staa wa mrembo wa Bongo Movie, Batuli ameonyesha kuchukizwa kwake kwa kitendo cha staa mwenzake, Kitale kuvujisha picha hizi  akiwa faragha na mwigizaji chipukizi, Stanbakora ikiwa ni kati ya moja ya kipande cha kazi yao mpya, kwa madai kuwa anaipa ‘promo’.

 

Kupitia ukurasa wake mtandao Batuli ameeleza kuwa Kitale alimpa picha hizo Mateja ambaye ndiye aliezisambaza kwenye mtandao wa Instagram.

 

“Kwanza mniwie radhi Watanzania mnachokiona na kinachoelezewa ni vitu viwili tofauti mwenye akili timamu anapata jibu kamili. @mkudesimbaoriginal nikuulize hivi wakati unampa @matejamusa picha ulimwambia ni za nini!? hivi naweza kuwa faragha mbele ya camera!? 

 

"Hata kama unapromote movie hii sio kiivyo kama kupromote kitu ndio hivi basi fani yetu imejaa mazumbukuku, hii ni scene iliyopo kwenye movie sioni sababu ya kunichafua kijinga hivi, kizuri kinajiuza @mkudesimbaoriginal  kuandika shit sio njia sahihi ya kupromote kazi yako”- Batuli aliandika.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bongo movie haziuziki,, inaonekana kama wanafanya porn video ili wapate mlo!!! Msiwalaumu sana kwani movie zao hazina bei kutokana na mastaa wenyewe kuwa mbumbumbu...

    ReplyDelete
    Replies
    1. mimi mpita njia..........sijiu kac hukizwa na nini batul

      Delete
  2. HUYU MCHAWI WA BONGO MOVIE KAFAAA

    ReplyDelete
  3. Kufanya hayo ni ridhaa yake arikodiwe ama apigwe picha, na alikuwa anajua fika kuwa ukipigwa picha maana yake zionekane mitandaoni kwani ndio lengo. Sasa kinachomfanya kumwaga machozi ni nini mnafiki mmoja huyo!!??

    ReplyDelete

Top Post Ad