CHADEMA Wadai wamempa Likizo DR Slaa kwa muda..Ni Kweli ? Wapi Alipo ?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

CHADEMA wampa likizo dk Slaa kwa muda....Mbowe aweka wazi kwamba wamekubaliana nae awe likizo nafasi yake katika chama iko pale pale... Kuna mwenye swali mpaka hapo.

Kunani?

Maneno ya Mbowe Haya:

Mbowe-Tumekubaliana na Katibu Mkuu apumzike kwa muda, kwamba sis tuendelee na atakapokuwa tayari ataungana nasi mbele ya safari.

Mbowe-Chama hiki hatukiendeshi kwa siri, tunakiendesha kwa mikakati.

Mbowe-Tulilazimika kutumia kila mbinu halali ambayo inakiwezesha chama chetu kusaka matumaini na matarajio ya wananchi.

Mbowe-Tuliridhika pasipo shaka kwamba ugeni wa Edward Lowassa katika chama chetu ni mpango wa Mungu.

Mbowe-Umoja wetu ndio ushindi, fursa iliyojitokeza ni nadra.

Mbowe-Mtikisiko huu umekuja kwa CCM kipindi ambacho Watanzania wanamatamanio ya mabadiliko

Mbowe-Hatuwezi kuwa chama cha kuendelea kuhubiri mabaya ya jana tukashindwa kuhubiri maendeleo ya kesho

Mbowe- Kipigo wanachopata CCM, hawajawahi kukipata tangu tuanze siasa za vyama vingi

Mbowe-Kila tunayeweza kumpokea kutoka vyama vilivyo nje ya UKAWA tutamchukua

Mbowe-Mungu ameamua kutumia chama chetu kujeruhi na kuangusha CCM.

Mbowe-CHADEMA ni chama cha siasa, ni chama makini, chama makinI ni chama cha watu, chama kisichokuwa makini ni chama cha viongozi.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mhhhh patamu mmeletewa na mungu fisadi sera za njaa zitatuua na mkishindwa October 25 nayo vilevile mipango ya mungu msijihukumu kabla ya kuhukumiwa mliyoyafanya kwa mzee Slaa haita sahaulika msikae mnatudanganya mmempa likizo kwa kutuona uwongo wenu watanzania wote wajinga na kutugeuza kikaangoni kama samaki mnavyotaka kwa mdundo huo Ikulu muisahau

    ReplyDelete
  2. Wewe kauzu hapo juu si mpaka muibe kura.

    ReplyDelete
    Replies
    1. na wewe acha usenge nani kaiba kura au nyinyi ndiyo mnajiua kwa ujinga wenu wa kumfanuizia dr. slaa?

      Delete
  3. kitu kimoja nawashangaa watu wenye "closed mind" kama wewe uliyetoa comment - lowassa ameeleza several times kwamba richmond ilikuwaje na hamtaki kuelewa. ukiwa mjinga unaelimishwa kwa kufundishwa, kama huamini unachofundishwa, we ni mpumbavu. umeona ufisadi wa cmm unaoendelea kwy kura za maoni - rushwa everyday. Acha ugumu wa akili

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe ndio halfminded ni mwizi gani anayejihukumu kwa kujiridhisha mara ngapi kazungumzia richmond na hilo sheshe ni nani aliyembambikia na kumwita fisadi leo mnalalamikia watu hawakuelimika kuwa hatujamfahamu kwa kujiridhisha kwani kisha jieleza mpaka sasa hivi CCM haijamtuhumu kuwa Edo ni fisadi ni hao hao Chadema ndo walimfanya mtaji kwa kumtuhumu na kuwafikisha hapo walipo na kuaminika miongoni mwa watanzania wengi wakiamini wamepata mkombozi wa kweli halafu hili hilo jinamizi mnataka watu walikubali, ila watu kama wewe mnapiga ngoma wenyewe na mnacheza wenyewe na kutufanya mazuzu ili tukubali

      Delete
    2. acha ujinga na wewe kura za maoni hata chadema ni shidaaaaaaaaaaaa hili chama ni kubwa ndiyo maana mnapata habari kwa urahisi kwa hilo umebugiiiiiiiiiiiiiiiiiii

      Delete
  4. Yaani ntashangaa chadema mkipewa nchi!!! Bado mna siasa zs kitoto. Mnafikiri wa tz ni wapumbavu wanadanganyika kirahisi. Hivi slaa awe likizo at this cruciall time haiwezekani. Unatuambia utumbo .mmezunguka mzee wa watu mzee Slaa.
    Cc m hoyee ikulu mtaiona mkienda feri tu!!

    ReplyDelete
  5. HEeee mdau 8:08pm umeniuwa sina mbavu ubaya habari fupi nilitaka niendelee kusoma comment ya yako..thanx..

    ReplyDelete
  6. Uchu wa madaraka Mbowe ume muua Slaa kwakweli inadikitisha mimi nI chadema ila hapo Kaka hamja mtendea haki kama ni kweli umepewa hongo na Lowasa basi kilio cha Dr slaa kitajibiwa October ikulu mtaisikia tu hamto kanyaga kamwe na kwa taarifa yenu Lowasa katumwa na CCM awavuruge.

    ReplyDelete
  7. Sijawah kuona likizo ya mwanasiasa tena kipindi cha kuelekea kampeni za uchaguzi mkuu wa nchi..

    ReplyDelete
  8. Wote mnaojifanya chadema hapo juu ni ccm,msitake kudanganya watu,na mtashangazwa October.

    ReplyDelete
    Replies
    1. yaani wewe ndiyo pumba kabisa mtaisoma namba hiyo octoba hakuna cha kushaanga hapa ni mwendo mdundo

      Delete

Top Post Ad