Diva Wajibizana Vibaya Na Diamond Kwenye Kipindi Cha XXL Clouds FM

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Diva Na Sauti Yake Ya Kujiamin Ikiambatana Na Nyodo Ajibizan Na Diamond On Air Kisa Mambo Ya Instagram , inasemekana diva Anamongelea vibaya daimond Instagram, Daimond  amemwambia diva kuwa kama ningekuwa nimekukaza usingekuwa unaniongelea......majibizano yaliendelea nusu wapigane BDAZIN akazima maic...




-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

34 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wote wamekutana wanajifanya too much.

    ReplyDelete
  2. mafahali wawili. kazi ipo

    ReplyDelete
  3. Dai anajiona yeye ndo mkazaji mzuri tz. tabia yake ya kuwadhalilisha wanawake haachi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. wanawake wenyewe ndo wanapedwa kudharirishwa,

      Delete
  4. si walishawahi kuimba pamoja hawa, imekuaje na matausi ya kukazana tena!

    ReplyDelete
  5. Gundu la CCM hilo mondi kuchwa kulumbana na wanawake,utakuja sutwa na hao wanawake wote,mwanaume mzima unamkatia kiuno magufuli.

    ReplyDelete
    Replies
    1. katika wajinga na wapumbavu wewe ni mmoja wapo hapo CCM inaingiaje? mshenzi mkubwa

      Delete
  6. Ndio hao wanaotiwa vidole na mapolitisheni, na kuwakatia viuno.

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe ni mmoja wao unaotiwa vidole nyuma, ulijuaje ya mwenzio kama wewe hufanyiwi hivyo? pumbavu zako

      Delete
  7. Agemyuka uyo na kidomo chake cha kichafu kisichojua mswaki

    ReplyDelete
  8. Nilikuwa msikilizaji mzuri wa nyimbo za Domo lkn tangu ufunguzi wakampeni za CCM kujitia kimbele mbele na huku wenzio mitaani tunateseka kwa utawala wa miaka50 wa hawa majambazi unawaonga mkono nasema hata upige ngoma gani sikusikilizi tena ng'o! ushapoteza shabiki Nambari1. NYOKO

    ReplyDelete
    Replies
    1. kwa ushabiki gani hadi uwe no moja? uache kufanyakazi ulitaka CCM ikuletee ugali mlangoni?

      Delete
  9. huyo dada hana tofauti na mange kimambi, wanaji fanyaga wababeee kumbe ni kama mmbu ha ha a na kweli anatamani kukazwa huyo ila bahati yake inaishia kwa wavuta bangi

    ReplyDelete
  10. yaani mijitu mingine sijui ikoje, suala la msanii kupenda chama fulani sio siri wala kificho, kwahiyo mimi sijaona ubaya wa wasanii wanaisapoti ccm au ukawa ni usual thing. so usipangie watu kwakuwa kura ni siri ya mtu na maendeleo ya mtu huja kwa kujituma mwenyewe, So let People Vote, we are tired of ur noises.

    ReplyDelete
  11. Angepanda jukwaa la lowassa mngemsifia, kwasababu kapanda la magufuli anatiwa vidole na mapolitisheni, mbona alivyopanda cku lowassa anatangaza nia arusha amkumtukana? Wewe hapo juu ndio unafaa kutiwa vidole coz ni unamaneno yakinafiki

    ReplyDelete
    Replies
    1. achana nao hao yaani wanataka kila mtu awaze kama wao. ovyooo

      Delete
  12. Hivi DNA ya tiffah ni lini? Usijekuta anahangaikia kwa mwenzake kwake kwateketea.

    ReplyDelete
  13. big up dai, hivyo viuno ndivyo vinakufanya uishi mjini. watajiju wasio jua kazi yako, wakae vibarazani kukusimanga, na wakati unamake

    ReplyDelete
  14. Atakuja kuwakatikia wanaume wa kipemba na watampa kubwa lao ashindwe kwenda choo

    ReplyDelete
  15. Jamani kweli wadau mmekasirika na dai jamani, huyo dai angetakiwa ajifunze kua yeye ni kioo cha jamii kwa hiyo hatakiwi kubishana na mashabiki wake atulize domo kubwa huko mana na uzee wangu wala siwezi kumkubali sijui wanampendea nini mana hata huko kukaza hajui natamani kujua mtoto wake au si wake

    ReplyDelete
    Replies
    1. huna jipya umeandika kijinga sana rudi darani kajifunze kuandika

      Delete
    2. haya basi wake..... u mepata nini?

      au sio wake ndo umepewa wewe?

      ovyooooooooooooooooooooooooooooooooo

      Delete
  16. huwezi kujua kama anajua kukaza ama vipi kampe ili uje utuambie hapa, unataka kujua kama mtoto ni wake ama si wake, mbona hata wewe umelelewa na baba wakambo, baba yako unamjua? NGOJA TUMUITE MKAPA ndio mtakaa sawa, mnamchukia Dai kwa vile hajamuimbia huyo mburula? DAI anajitambua sana huwezi hata kufananisha IQ yako na Dai huo utakuwa ni ULOFA!!!!

    ReplyDelete
  17. Hako kabinti kanajua kujikweza kwelikweli, hivi huyo Malinzi angekuwa ndio baba mzazi si kangeharisha kabisa.

    ReplyDelete
  18. uzuri wa mwanamke kujiamini,ss diva asimjibu domo kwani yy ndo nani akileta usenge wa mdomo wake ajibiwe vizuri

    ReplyDelete
  19. nakupenda sana dai jinsi unavyojishughulisha na maisha,kupenda chama fulani ni haki ya mtu km dai kapenda ccm muacheni jamani ndio pendekezo lake,kila mtu ana haki ya kumchagua kiongozi anaye mtaka na anayemuona anafaa,halafu watu wengine bhana ebu fanyeni kazi zenu kwa bidii huyo lowassa au magufuli hatowaletea maendeleo nyumbani kwenu,hatowalisha na wala hatowavalisha,fanyeni kazi kwa bidii acheni zogo na kelele zisizokuwa na msingi,...

    ReplyDelete
  20. TENA MSIJIDAI KUTUKAMA HAPA BORA HATA HIII SHERIA IJE WATU MNAGUEZA WATU NDIO WAKUWATOLE SRESS ZENU...UKAWA MYA FOOOT KILA INAMAANA UKIMPENDA MTU NDI UUKAMATE NA UHURU WAKE|? NDI MAANA MMEMSAHAU MUNGU MNAKAZANIA USHETANI NA MTAIONA DUNIA MWAKA HUUU MPAKA MJE MUKUMBUKE HUYO ALIEWAPA PUMZI MNALETA JEURI MTAKUA MSHACHELEWAAA...MSIJIJUA ..MNAKAZI YA KUPANIC KAMA MNAJIAMINI MITUSI KILA WAKATI MITANDAONI YA NINI KAENI KIMYA TUSUBIRI OCKTOBER SIO KULAZIMISHANA KWA KIJINGA KIJNGA...HATA MTUMIE MBINU GANI KUMDIS MTOTO WA WATU MUNGU ATAWAUM BUA MNAJULIKANA SANA MLIANZA KUMFANYIA FUJO ZAMANI...MNA ROHO MBAYA KAMA WAUZA SUMU...KAANGALIENI FAMILIA ZENU ZINAVYOTETEREKA WACHENI MAMBO YA KIJINGA....

    ReplyDelete
  21. Mtoto kachukua rangi kwa babu yake. Domo pole sana ujanja huna tena yamekufika looser.tena unadiriki kuandika eti the zari's past life yake haikusumbui ...MUONGO MKUBWA .wahenga walisema
    tembo akizidiwa hula majani. Kulala na mtu wa umri unao shinda hata Esma. Mademu bongo woote wamekutema ndiyo maana.

    ReplyDelete
  22. Hayo yote hayawahusu ni maisha yake binafsi. Zari, mtoto, kiuno,ccm,domo yanahusu nini!!?? Ovyo

    ReplyDelete
  23. Hayo yote hayawahusu ni maisha yake binafsi. Zari, mtoto, kiuno,ccm,domo yanahusu nini!!?? Ovyo

    ReplyDelete
  24. chama cha Siasa ni sawa na dini huyu mkristo huyu mwislamu kwani dhambi kuonyesha kuwa na mapenzi na chama flani?
    ama kushabikia Ukawa kwa mkumbo ndiyo ujanja?

    yaani nyie ukawa mjiangalie sana na kujichunguza kwa kina Asilimia kubwa ya ukawa ni wahuni na ndiyo maana mnashinda kwenye mitandao kutukana watu kisa wapo chama cha mapinduzi

    bibi zenu na babu zenu wote wamekuzwa na chama cha mapinduzi

    hata huyo lowasa kazeekea ccm mbona katoka akiwa mzee?
    kumbe ccm patamu sasa na mimi ntazeeekea ccm ntahama nikiwa mzee

    dole jUUUUUUUUUUUUUUu dai nimekubali sana kwa ww kuonyesha mapenzi na chama pia ndiyo wamekufungulia njia ya kufika ulipo

    usitukane wakunga na uzazi ungalipo

    ReplyDelete
  25. Dai lazima akipende ccm, anajua mama yake alikazwa na wana ccm tena mande.

    ReplyDelete

Top Post Ad