EDWARD LOWASSA Aja na Mpya Leo..Hapa nimekuweka Picha Nne Akiwa Kapanda Daladala na Kufanya Haya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya mafuriko ya CCM jana pale jagwani katika uzinduzi wa Kampeni za Urais leo asubuhi Mh Lowassa ameamka na Kick ya kupanda daladala na kusikiliza matatizo ya wananchi laivu laivu...hizi hapa picha nne akiwa katika tukio hilo lililovuta hisia za watu wengi
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

45 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mnafiki mkubwa hata mungu hapendi....kwahiyo leo ndio anajua kupanda daladala sababu anaomba kura..!?
    Watanzania kwnn tunapenda kuchezeana akili zetu?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Jamani!! mbona anapandishwa kama majerui vile? Kashikiliwa kichwa na huko nyuma.... kulikoni tena?

      Delete
    2. hata km hatuna akili za kufikir basi kwa vile tumecomment basi macho tunayo ya kuona km ipo haja ya kuwa na mabaliko I hope sisi sote tuliocomment tumezaliwa tukiwa ndani ya utawala wa ccm hadi hii leo ccm hao hao ndio wanasema hakuna dawa hospital viwanda vimekufa n.k sasa km imeshindikana miaka 54 kuleta dawa hivi miujiza ipi iyakayotumiwa kuleta hayo ndani ya miaka 5 tena chini ya ccm?

      Delete
  2. Mnafiki mkubwa hata mungu hapendi....kwahiyo leo ndio anajua kupanda daladala sababu anaomba kura..!?
    Watanzania kwnn tunapenda kuchezeana akili zetu?

    ReplyDelete
    Replies
    1. MNAFIKI MAMA YAKO NA BABA YAKO WALIOKUZAA WEWE MWANA HARAM

      Delete
    2. Kuwa mstarabu anko loh mbona unajaziba ni ushamba huna hoja mpaka umtukanie mama na baba yake kisa nini mara ngapi ulishatukaniwa mama temna matusi ya nguo wala hukukufanya chochote leo unapata laana ya bure binafsi jamaa hajakukosea kitu

      Delete
    3. matusi hayajengi toa hoja watu watakuelewa

      Delete
  3. Hakupanda daladala asubuhi anapanda jioni anamhadaa nani hata akipanda kwama hapati kitu watz wa leo sio wa jana atafute gia ya maana labda tutamuelewe na kumfikiria hawa washauri wake wa kampeni wameishiwa dah hawana hata haya wanafanya mambozi ya kizammmaaaaaani

    ReplyDelete
  4. NDIYO AHSANTE SANA MHESHIMIWA LOWASSA RAIS WETU MTARAJIWA AWAMU YA TANO.HUU NDIYO MWANZO WA MAAJABU YA LOWASSA.SASA MZEE NJOO HUKU FERRY TUPANDE WOTE KIVUKO.HUYO BWANA KATILI MGOMBEA WA CCM DUDE BOMOA BOMOA ALIKWISHA TUAMBIA HUKU KIGAMBONI KAMA HUNA NAULI BASI PIGA MBIZI.TUNASEMA CCM MPOOO? IMEKULA KWENU TAREHE 25.10.2015

    ReplyDelete
    Replies
    1. unajiliwaza tu, nyerere alisema mtu akiingia kwako akakunyanganya madaraka wewe ni mzembe. wakati alipokuwa waziri alipanda?

      Delete
  5. Hongera Mzee kaza buti, njoo uone na barabara ya Kimara/Mbezi tunavyohangaika.

    ReplyDelete
  6. Mbona amechelewa?tumeshamuona Magufuli anatembea kwa miguu,tumemuona Magufuli ameshika nyundo,tumemuona ana karai la udongo,cha ajabu nini yeye kupanda daladala?na mbona ni wakati wa kuomba kura tu ndio kapanda daladala?
    Acha hadaa mzee,kama wewe ni YES itakuwa,Mungu ndio ana siri.

    ReplyDelete
  7. Jamani nyie akina mbowe kwa nini hamumshauri huyu mzee?
    kupanda daladala ili iweje,mbona sasa hajapanda zamani?
    Mungu tubariki watanzania.

    ReplyDelete
  8. kick ni shiida mweh! leo daladala limepandka baada ya kutaka urais, kwann asipande kipndi cha nyuma? so boring aaaaaaaagrrrrrrrrh

    ReplyDelete
  9. Sinema za kisiasa zina.endeleya tulimuona hata kinana alikuwa analima anajenga na wananchi

    ReplyDelete
  10. Hongera Lowasa. Karibu sana Ikulu. Tunakusubiri kwa hamu. Mungu akubariki sana.

    ReplyDelete
  11. Hahahahahaha bora ya lowasa kuliko wale walio tafuta kiki Jana jangwani kwa kutoa matusi nchi inaongozwa na matusi mpaka link fungukeni pumbu nyie bungeni umbra kwenye jukwaa umbra ukawa hoyeeeeeee mwaka huu ccm mtajibeba na viroba

    ReplyDelete
    Replies
    1. Brother waambie kina Mbowe hii kampeni uchwara na ya kihuni haifai mbona wanamdhalilisha waziri mkuu mstaafu alipokuwa CCM hajawahi kupanda daladala tizama alivyo pata mfadhaiko wa akili anaonekana kama mwanasesere

      Delete
  12. Duuh , Umecheelewa sana mwenzio ( magufuli ) tunakesha naye site moja baada nyingine maisha yake yote ya utumishi, wewe leo unapanda daladala kuna shida gani daladala au unatuthibitishia kuwa afya yako njema,Wananchi tunaitaji sera na matendo kama ukaribu hata kikwete tuliucheza naye disco na mambo hayajabadilika

    ReplyDelete
  13. Duuh!Hii yote ni kutaka kuingia IKULU?
    Tulia mzee,si kuna mtabiri alishakutabiria wewe ni rais 2015?Huamini?

    ReplyDelete
  14. Hongera Mheshimiwa Lowassa. Wewe ndo Rais wetu ajaye.

    ReplyDelete
  15. Lowassa atakuwa Rais bora kuliko wote ambao TZ imewahi kupata.

    ReplyDelete
  16. Chagua Lowassa kwa Rais anayejali maisha ya watu.

    ReplyDelete
  17. SIO VIBAYA JAMANI MBONA KIKWETE NA MUGUFULI WALIKUTANA NA WASANII WENZAO,HAIKUWA SHIDA,IWAJE YEYE?AU MPAKA AKAENAO SERENA

    ReplyDelete
  18. Lowasa ndo mpango mzima, tumechoka na ccm kwakweli. ahadi alizotoa jana pombe ndzo alizotoa jk na hakuna jpya. watanzania tumesoma sasa tunataka mabadiliko

    ReplyDelete
  19. Hivi aliwalipia watu nauli kama Ali Kiba?? Huyo Edo ni 'msanii' kama mzee Majuto tu......kwishneyyyyyy

    ReplyDelete
  20. Heeh! Ya mwaka huu kali, ndio anazindua kampeni ama vepe??

    ReplyDelete
  21. Huyo ni mnafiki mkubwa, mbona muda wote akiwa madarakani tculishindwa kuona ukaribu wake na Wananchi, sasa leo hii tena bila ya aibu anajifanya kupanda Daladala dah aiseee!!! Kwa kweli sijui Ikulu kuna biashara ganiii?????? Huyo Mzee ka paniki na lile nyomi la jana pale Jangwani sasa anachotafuta ni kiki tu za lala salama. Kwa kweli waswahili walijisemea Mfa maji haishi Kutapatapa.

    ReplyDelete
  22. kazi yao kutukana matusi majukwaani sio ndio sera unazo sema we anonymous hapo juu,litumbo mkapa linawaita watu malofa na wapumbavu,ndio siye malofa sababu mke wake na magufuli si ndio waliogawana nyumba za serikali?

    ReplyDelete
    Replies
    1. acha ufara huyo mzee anazinduka leo????????????????? mbona alipokuwa waziri mkuu hata siku moja hakupanda daradara iweje leooooooooooooooo au ndiyo ikulu

      Delete
  23. That's cool. Kila jambo na wakati wake...

    ReplyDelete
  24. WASANII NI CCM HIVI INAIGIA AKILI KILA KIJIJI WAMEAHIDI 50 MILLION ?TUNA VIJIJI ZAIDI YA 20,000 SASA PIGA HESABU,DAWA NA MADAWATI TU YAMEWASHINDA.KWA MIAKA 54.WATAZITOA WAPI? MWALIMU WANADAI,WAKULIMA WAMEKOPWA HALAFU,MATANZANIA ALIE YALOGA AMESHAKUFA

    ReplyDelete
  25. MZEE kapanic hana advancer anaota kukicha anatoka may be leo katoroka nyumbani mke ajui.pelekeni mzee milembe hospal apimwe kicha.

    ReplyDelete
  26. penda uchaguzi Mimi,,Kama simba na yanga

    ReplyDelete
  27. Siasa za bongo zinafurahisha sana siku zote hakupanda daladala leo ndo anajua tuna shida?

    ReplyDelete
  28. SASA MIMI NAWASHAANGAA WANAMBEZA KAMPENI ZIMEANZA TOKA TAREHE 21/8/2015 LAZIMA AKAWATEMBELEE WAPINGA KURA WAKE WAPUMBAFU NA MALOFA NYINYI CCM MUENDE KWA MATAJIRI WENZENU WATAWAPIGIA KURA,HII NDIO KAMPENI BABA ACHENI WIVU TUMESHAWIPAGA BAO,UNAFIKIRIA KAMPENI MPAKA UPANDE CHOPA UMECHELEWA SANA,

    ReplyDelete
  29. Ameweka mfano wa rais ambaye anaweza kwenda kuona maisha ya mtu wa kawaida; malofa; mafala; oil chafu; wenye njaa kama nyie ccm manvyotuita! Mungu awabariki wote waliopo kwenye chama cha chukua chako mapema

    ReplyDelete
  30. Rais wetu LOWASSA, wananchi tumeamua na KWA KAULI moja! TUNAMTAKA LOWASSA. Na hata wabunge wa CCM wengi wanamtaka na WANA IMANI NA LOWASSA. Hata kikwete ukimwachia magufuli akae peke yake kwa dakika KUMI tu; KAMA ANA AKILI kama za kwetu sisi malofa; oil chafu; makapi; wapumbavu; basi ataenda UKAWA baada ya sekunde chache!

    ReplyDelete
  31. safi sana comment zimekwenda shule ila kwa mtazamo wangu huyu Mzee wetu ana akili sana, unajua kwanini alikwenda Mbagala?alijua ndipo kwenye wapigakura wa khanga moja na ndipo kwenye watu wengi wa kipato cha chini kwa ufupi amewapiga bao kubwa upande wa kijani..............sinema ndio kwanza inaanza....Asante kwa kuona usafiri wetu upo vipi!!! najua ingekuwa ngumu sana kipindi cha uwaziri mkuu kupanda Daladala nakumbuka wakati waziri wa maji ulivyokuwa unajishughulisha nilikuwa Arusha kipindi hicho ulibadilisha hadithi ya maji na tukayazoea maji...sikuwahi kusikia ufisadi kwenye wizara yako,tuzidi kuomba mungu yote yaende sawasawa.Amina

    ReplyDelete
  32. Nini cha ajabu na cha kushangaza kwa mhe Lowasa kupanda daladala na kwenda kuwaona wapiga kura wake. kumbukeni hi ni kampeni haijalishi inafanyika kwa mtindo na style gani kikubwa ni kuwafikia hasa wananchi na kujionea uhalisia wa maisha yao ya kila siku kwaajili ya kuyafanyia kazi. Watanzania tubadilike tusiwe kama watu tuliochanganyikiwa maana mtu aliyechanganyikiwa ni rahisi kusahau shida na mateso anayoyapitia katika maisha yake. Ni zaidi ya miaka 50 sasa ya uhuru kila siku ni afadhali ya jana ndo maish atuliyonayo kwa sasa. Zipo dalili zote zinazoonyosha maisha ya aina hi yameshatuchosha na tunahitaji uongozi utakaoshughulikia kwa dhati kabisa mahitaji ya watanzania. Ukweli ni kwanda mabadiliko haya hayawezi kupatikana ndani ya ccm maana ni ccm haohao ndo waliotufikisha hapa tulipo kwa sera hizohizo ambazo leo wanazirudia na ahadi zilezile ambazo wakati wote zimewashinda kuzitekeleza. Uamuzi upo mikononi mwako kutengeneza au kubomoa.

    ReplyDelete
  33. Ehe,amekuwa king Kiba jamani watanzania mstuke uyo anautafuta uraisi analake mbona alivyokuwa waziri hakupanda!!!

    ReplyDelete
  34. Jamaa ataua mtu kwani urais imesha ondoka na sasa anaota tuu.ccm oyee

    ReplyDelete
  35. Hayo ni maigizo mengine tena

    ReplyDelete
  36. Mlitaka apande ndege kama huyo Vascodagma wenu kila kukicha yupo ughaibuni lakini hata kuku wala mbwa hawajui kaja ughaibuni . Hata news hawamtangazi
    Au ndo huja kuchukuwa dozi
    Kwani hatujui
    Kila kukicha wawekezaji hatuoni chochote
    Meno ya tembo ya Zurich mbona kigugumizi
    Au Kinana huyo

    ReplyDelete

Top Post Ad