Edward Lowassa Avunja Rekodi ya Umati wa Watu Jangwani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mkutano wa Ukawa wa Kuzindua Kampeni za Uchaguzi 2015 umemalizika huku wakiacha rekodi mpya ya  Avunja Rekodi ya Umati wa Watu Jangwani........
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. PAMOJA NA KUFANYA MBINU ZOTE, KUITUMIA NEC, KUWATUMIA VIONGOZI WA SERIKALI KUPATA MISAADA, KUITUMIA TANESCO LEO, LAKINI PIPOZ PAWA! PIPOZ!

    Ni vigumu kuisimamisha nguvu ya UMMA. PIPOZ PAWA! HATA MAGUFULI ALIJISAHAU AKASEMA PIPOZ PAWA katika hotuba YAKE. Nafikiri anakubaliana na sera za ukawa sasa na huenda akaipigia KURA ukawa

    ReplyDelete
  2. enheeee JUST BEGINING-time is telling now,sasa mnakasirika nini ccm-chukua chako mapema..

    ReplyDelete
  3. .Msemakweli Msemakweli wacha(na sio punguza) jazba.mpaka kieleke mmetunyonya sana wala hamuoni vibaya,mkiumwa mnakimbilia nje kutibiwa,elimu kusoma nje!!!!tena wee KUKU wewe nina hasira na kauli zako za kishoga..

    ReplyDelete
  4. USHINDI MKUBWA WA KIHISTORIA JANGWANI KWA UPANDE WA UKAWA YA MHESHIMIWA EDWARD NGOYAI LOWASSA UMESHUHUDIWA KWA KUONEKANA LEO JUMAMOSI TAREHE 29 MWEZI WA 8 AUGUST 2015 AMBAPO MKUTANO WAKE WA UFUNGUZI WA KAMPENI UMEHUDHURIWA NA WATU TU NAOMUUNGA MKONO MILLION TATU YAANI 3,000,000 TULIKUWEPO TUMEMSIKIA TUMEMUELEWA NEEMA INAKUJA NCHINI ELIMU. BURE TOKA SHULE ZA MSINGI HADI VYUO VIKUU ANGALIA URITHI WENYE NGUVU PEKEE KWA WATOTO WETU NI ELIMU ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA NAAM LOWASSA UMEKWISHA SHINDA

    ReplyDelete
  5. Wataipenda na hii waseme picha za kuedit hao mbulula wa ccm

    ReplyDelete
  6. Lowasaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  7. Jembe hao ccm wao walisafirisha watu kila mkoa eti waje pale jangwani, mna bahati yenu msingewasafisha mmengeishia kuwaona hao waliokuja kumuona domo na Wema na wala si kwajili ya ccm lakin sisi. mizik watu mmeuona

    ReplyDelete
  8. Ccm kwishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  9. CCM WANAFIKI MAFISADI TUMEWACHOKA

    ReplyDelete
  10. Hayo. Maviongozi yao ya ccm ndo magonjwa balaa kila mwezi yanaenda kubadili damu

    ReplyDelete
  11. CCM INAKWENDA WAKATI WAKE UMEMALIZIKA

    ReplyDelete
  12. ccm kwishaaaaaa lakini unajua pimbi hawa kamwe hawatonyoosha mikono juu kuwa wameshindwa kwa sababu hiyo ni fedheha kubwa mno ndiyo maana unashuhudia wanavyokufa kisabuni,Sasa hivi ccm ni kiwanda kikubwa cha UONGO.WAONGO CCM HAIJAPATA KUTOKEA TANGU TUPATE UHURU CCM NI WAONGO WAONGO WAONGO BALAA.

    ReplyDelete
  13. NEEMA INAKUJA NCHINI ELIMU. BURE TOKA SHULE ZA MSINGI HADI VYUO VIKUU ANGALIA URITHI WENYE NGUVU PEKEE KWA WATOTO WETU NI ELIMU ELIMU NI UFUNGUOO WA MAISHA .
    WAKULIMA HAKUNA KUKUPWA BURE UNALIPA NA RIBA KAMA UNAVYOLIPA DENI LA BANK

    UKAWAAAAAAAAAAAA

    ReplyDelete

Top Post Ad