Hotuba ya Sumaye Jagwani ni Noma, Aongelea Ugonjwa wa Lowassa na Habari za Ufisadi Anazosingiziwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Sumaye: Kwa ajili ya muda nitasema kwa kifupi sana, nimetoka chama cha mapinduzi, katibu mkuu alisema sisi ambao hatukuteuliwa hatukuwa na maadili, mimi nasema kama kipimo cha maadili ni mheshimiwa Kinana, mimi nitakuwa mtakatifu, CCM wamekuwa wakiongoza siasa ya chama kimoja kwa ngozi ya vyama vingi, mmekunjika kwa miaka yote.

 Tulitaka kufanya mabadiliko kulekule, kukawa na tatizo ndani ya CCM, ukitaka kufanya lolote wanakuzingira. Wanawajaza watanzania uoga wa usilolijua, mkiwapa wapinzani wataharibu nchi, kila binadamu ana uoga wa asilolijua.

Lowassa kwa kuliona hilo, kwa kuwa watanzania wanamfahamu aliona uoga wa aina hiyo haitakuwepo, na mimi nimekuja kwa sababu hiyo. Watanzania leo elimu yetu inashuka sana, tunashusha alama za kufaulu wanafunzi ionekane wamefaulu wengi, pia ukienda katika afya. Tunataka tubadilishe hali hiyo.

Leo Lowassa ametoka CCM ameonekana hafai, lakini ni KIkwete aliemfanya waziri mkuu wake, kuna Rais anaweka kiongozi ambae hafai? Lakini ni LOwassa huyuhuyu ndie aliemuingiza KIkwete Ikulu, Kwamba watanzania wanampenda Lowassa, halina mjadala.

Mmewasikia kwenye kampeni zao, fisadi mkubwa huyo amechukua fedha za matajiri, Lowassa amechukua ustaarabu wa kuwajibika. Waziri anachukua mzigo ili kumuokoa Rais na serikali yake. Asanteni sana.

Nyerere wakati anastaafu, kwenye kikao kimoja nafikiri cha halmashauri kuu. Alisema hajaona mtu mvumilivu kama Kawawa, alibeba mizigo aliyostahili kubeba yeye, ndiyo kazi aliyofanya Lowassa.

Vichwa vya treni vinavyonunuliwa, Lowassa alikuwepo? Wajenzi wa barabara nchi hii wanaidai serikali trilioni 1.4, kudai si tatizo katika hizo bilioni 900 ni pesa za adhabu, huo si ufisadi, mbona hawasemi? Serikali hii ni dhaifu sana na alituthibitishia katibu mkuu, mwenyewe kusema kuna mawaziri mizigo.

Mwisho wanalomsema nalo, Escrow Lowassa alikuwepo, kile kipande cha Lugemalira tulijua waliokula, kile kipande cha Habinder ni nani aliekula, tangu lini benki ikaruhusiwa kutoa cash kwa mabilioni. Wamejenga kibr, hawajali tena maumivu ya wananchi, naomba mwaka huu msikubali, watanzania mfurahie mabadiliko ya ndani ya vyama vingi.

Wanasema mgonjwa, mimi nataka niwaulize, kwani Magufuli mzima? Wanaenda kufanya nini Ulaya kama ni wazima, mtu yeyote ukishavuka miaka 50 hauwezi kuwa wazima kwa asilimia 100, hivi Rais mkapa alipokuwa madarakani hakwenda kufanyiwa operashi Ulaya, nchi ilidorora? Alienda akarudi akaikuta nchi usalama.

Kwani KIkwete alivyokuwa madarakani hakwenda kufanyiwa upasuaji mkubwa Markani??

 Rais si kazi ya kubeba zege Ikulu, anatakiwa kuwake timu nzuri ya kazi, yeye ni meneja tu, naomba sana tumchague itakapofika tarehe 25 Oktoba. Asanteni sana, nawashukuru.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

23 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ukawa oyeeeee..Nashukuru sana mheshimiwa sumaye kwakuwafungua akili hawa makada wa ccm,wasipo badilika mwaka huu basi wataburuzwa nakutuharibia nchi yetu nahawa ccm

    ReplyDelete
  2. Pesa mbaya sana mtasema sana kwa kulipwa hakuna lolote la maana hamkuyasema wakati mpo CCM na mkajitoa na kujenga nguvu ya upinzani biashara asubuhi kwa kutufanya watanzania zezeta

    ReplyDelete
    Replies
    1. Funga domo lako ccm huwezi kusema kweli
      Ina wenyewe matapeli na mafusadi
      Kamati kuu tuana,biana pesa kwanza na family yako

      Delete
    2. wamelipwa sh. ngapi? Acha kukurupuka

      Delete
  3. Asante Asante Sumaye

    ReplyDelete
  4. Mbona hakuyazungumza haya wakati yuko CCM????Aliwahi kuwa Waziri Mkuu kwa milongo miwili je alifanya nini kama Kiongozi Mkuu wa Shughuli za Serikali kuyazuia hayo aina ya mapungufu anayoyataja yasitokeee?????? Acha unafiki wewe Sumaye, hiki ni kipindi cha kutuletea sera zenu na sio kubakia hapo na kuteteana kwa kijinga jinga.

    ReplyDelete
  5. Freddie, this is GREAT SPEECH. SHORT, PRECISE AND TO THE POINT. Mimi ninaongeza haya: Na barabara zote mbovu zinazouwa watanzania - ni Lowassa amezijenga? Kinana aliposema mawaziri wa serikali ya ccm ni MZIGO - huo si UDHAIFU mkubwa ndio maana TUNATAKA MABADILIKO>? Walivyojivua GAMBA ni mwananchi GANI hajui kwamba hiyo ilikuwa DANGANYA toto? Je Kikwete na mwanae Ridhiwani na MADAWA ya kulevya KULE china? Huu ni usalititi wa kukera sana. CCM ni zaidi ya KIPINDU PINDU. Je Kikwete na PESA ya LUGEMARILA? EPA>? Kikwete na PESA zetu alizotumia kwa safari zisizo na TIJA marekani? Watanzania TUMEICHOKA CCM kama wadada wanapochoka PEDI, na kuzitupa mbali! Cancer iliyoenea mwili mzima. Sisi malofa na wapumbavu tutakutana kwenye KURA!

    Ninasema haya: Ni vigumu kuisimamisha nguvu ya UMMA. PIPOZ PAWA! HATA MAGUFULI ALIJISAHAU AKASEMA PIPOZ PAWA katika hotuba YAKE. Nafikiri anakubaliana na sera za ukawa sasa na DALILI ZINAONYESHA kwamba yeye mwenyewe huenda akaipigia KURA ukawa

    ReplyDelete
    Replies
    1. DUUU HII NCHI WAMEFANYA SHAMBA LA BIBI?MTATUFANYA MAZEZETA MPAKA LINI?SISI NDIO TUNAOWAWEKA MADARAKANI HIVYO TUNAMAMLAKA YA KUSEMA TUMEWACHOKA NYIE WEZI WAKUBWA.MEKULA ESCROW TUMEUCHUNA MNADUNDA TUUUUU.KODI ZETU NDO MNAENDA KUTANULIA MAREKANI NA KUTIBIWA SASA KAMA MMEBORESHA AFYA HAYO MAVITAMBI YENU MNAPELEKA YA NINI NJE?ACHENI KUTUFANYA MAZEZETA MTAISOMA NAMBA MWAKA HUU.

      Delete
  6. Kikwete alimuweka lowasa madarakani yesssss,,,,, na kikwete huyohuyo akampiga chini kwa kashfa ya richmund,,,,, kwa vile deal lilikua lao wote ila Mr Lowasa aka piga panga kubwa zaidi,,,,, tupeni sera za chama hayo ya ugonjwa yakwenu sie hatuyajui,,,, na mlitakiwa kuyasema haya ndani ya chama sio nje ya chama,,,, Nani ana mkumbuka barongo? Alikamatwa kwa ufisadi Raisi akamtoa waziri mkuu akamkamata tena,,, akamwambia raisi ukimtoa tena na jiuzulu na kipindi hicho alikua raisi nyerere,,, na nyie mnge act muone kikwete angewafanya nini,,, mnaropoka baada ya kutolewa nje ya uwanja.

    ReplyDelete
  7. Sumaye kasahau kusema na yeye alipokuwa waziri mkuu aliiba nini? anafikiri watz hawamjui.

    ReplyDelete
  8. Sumaye huwezi kumsafisha mwizi mwenzio, mbona yako husemi ulivyokuwa madarakani? unahasira sana umenyimwa ulaji, na huyo Lowasa ni mgonjwa kiasi hawezi hata kuongea zaidi ya masaa 8. unataka afe uchukue kiti wewe.

    ReplyDelete
  9. Kama afya ndiyo kigezo cha uraisi bac jk asingekuwa raisi maana alikuwa anadondoka Sana wakati WA kampen. Lkn bado watanzania walimchagua. Na kama kweli ccm wanachukia mafisadi basi wawaondoe hao kwenye kugombea ubunge. Chenge, ana tibaijuka, ngereja, muhongo. Watanzania bado tunakumbukumbu wa escrow, radar, epa. Na msipo watoa ni wazi kuwa mnatudanganya kumwita lowassa fisadi. Na hamna NJema Na watanzannia masikini. Sasa Ni wakat WA mwananchi WA kawaida kujidai Na kuonuesha hasira kwa mafisadi WA ccm.






    Lllllll

    ReplyDelete
  10. Sumaye kumbe wanafiki ccm ipi mlikuwa munainadi watanzania sio wajinga we know best than u think.

    ReplyDelete
  11. Ongera chadema kwa kumeza muhungano wa ukawa hata kwenye ilani hawausiki.

    ReplyDelete
  12. kuumwa wote wagonjwa hapo kuanzia mkapampaka kikwete,enh wanakwendaga fanya nini kule ulaya na marekani,msiwe mbulula rais yy km manager anaipanga nchi kiushindi kimaendeleo..

    ReplyDelete
  13. Ni shidaaa sumaye njoo tule bata kama kawaida achana na siasa ushalost.kama unafikiri lowasa atakupa uwaziri mkuu umeula wa chuya babu jinga kwa uvivu wa kupembua.

    ReplyDelete
  14. Wewe ndio zezeta unaendelea kuburuzwa akili na hao ccm wenzako tumeshakuwa werevu ukawa hoyeeeee na kwataharifa yako hajaongwa MTU hapa aka utoe uzibitisho Wa hizo bongo pindi zinatolewa na picha aka camera walivyokuwa wanapewa bongo tutupie ili tuamini matapishi yako wewe anonymous Wa 6:48 AM pia mwakyembe ndio amejua Leo walio ama ccm ndio mafisadi kwanini hajawataja hao mlio Bali nao umo ndani ujinga tu huna lolote

    ReplyDelete
  15. Koma kushabikia upururu kwa usilo lijua ivi nyie mnazani Tanzania itatawaliwa na chama kimoja mpaka lini na ahadi zile zile zisizo tekelezeka ebufungueni macho kenge nyie msio jua kesho itakuwaje mtazani mnaishi chini ya vibuyu

    ReplyDelete
  16. Ukome wewe kama ulivyokoma ziwa la mama yako Tanzania itatawaliwa na ccm mpaka nyerer afufuke,,,,mtabakia matusi tu kumbe mlivyoitwa malofa wala hakukosea,,,,,,,,, Joto Hasira foleni njia nzima,,,,, Naipenda UKAWA ILA LOWASA BIG NOOOO,,,,,,, NAICHIKIA CCM ILA MAGUFULI NDIO RAISI WENUUUUUU,,,,,, KAJINYONGE KAMA HUTAKI.

    ReplyDelete
  17. Nani atnyooshea mtu KIDOLE HUKO CCM? NYUMBA ZETU ZILIZOUZWA KWA BEI YA KUTUPA HUKO OYSTERBA

    ReplyDelete
  18. CCM KWISHAAAAAAA KABISAAAAAA

    ReplyDelete

Top Post Ad