Huwezi Amini Watanzania Tuna Maamuzi Magumu Sana...Embu Jisomee Hapa Uone.....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


1. Huna uhakika wa kula na elfu moja pekee uliyonayo unaamua kuinywa Kiroba - Ni maamuzi magumu.

2. Huna kitanda na unaamua kuoa - Hayo pia ni maamuzi magumu.

3. Huna uwezo wa kumlisha mkeo kazi yako ni kumjaza ujauzito - Ni maamuzi magumu.

4. Shule haina waalimu unampeleka mwanao - Pia ni maamuzi magumu....

5. Daladala imejaa mpaka mlangoni na unaamua kupanda - Ni maamuzi magumu.

6. Unalipwa laki mbili unamhonga binti laki moja - Hayo ni maamuzi magumu.

7. Kama utasoma hapa na kushindwa kuweka maamuzi magumu unayoyajua - Utakuwa unamaamuzi magumu mnoo...!

8. Mdada unaweka brazillian ya laki saba mshahara laki 2- Hayo ni maamuzi magumu

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kweli ni maamuzi magumu!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. unanunua range rover unakaa chumba kimoja hayo ni maamuzi magumu

    ReplyDelete
  3. Unabwagwa CCM unahamia CDM - hayo ni maamuzi magumu

    ReplyDelete
  4. Hakika hayo ni maamuzi magumu mno.

    ReplyDelete
  5. Unawacha kumpigia kampeni lowasa unampigia Magufuli haya ni mamuzi magumu.. Unajua kama Zanzibar inanyimwa haki zake na Tanganyika lakini unazidi kutetea muungano haya pia maamuzi magumu

    ReplyDelete
  6. Unachukua mkopo urudishe heshima bar...hayo ni maamuzi magumu

    ReplyDelete
  7. Unamwacha mke wako unaenda kwa mchepukp, hayo ni maamuzi magumu

    ReplyDelete
  8. Unamtongoza Wema wakati huna usafiri wa kutembelea...hayo pia maamuzi magumu

    ReplyDelete
  9. yafuatayo ni maamuzi ya kipumbavu.....
    1.unamkataa yesu unamfata shetani ..hayo ni maamuzi ya kipumbavu
    2.unakataa condom kisa demu mzuri..hayo ni maamuzi ya kipumbavu

    ReplyDelete
  10. Magufuri ,,huna nauli ya pantoni inabidi upige mbizi kuja kutuomba kura watu wa kigamboni.......hayo ni maamuzi magumu

    ReplyDelete
  11. Mbowe kumpa Dr silaha likizo! ! Ni maamuzi Magumu m nooo.

    ReplyDelete
  12. Unaweka profile pic ya mkeo kwenye whatsapp ili kumtuliza wakati unajua wewe ni mchepukaji mashuhuri hayo ni maamuzi magumu

    ReplyDelete

Top Post Ad