January Makamba Ampa MAKAVU Lowassa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Aliyekuwa mgombea Urais wa CCM ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya chama hicho, Januari Makamba, jana alimshukia mgombea urais kwa tiketi ya Ukawa, Edward Lowassa kwamba ni mroho wa madaraka.

Makamba alitoa kauli hiyo katika viwanja vya Barafu mjini Dodoma wakati akimnadi mgombea ubunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde. January alisema kuwa Lowassa ameivuruga demokrasia ndani ya Chadema na kupeleka mizengwe itakayokiua chama hicho na umoja wao.

“Yale siyo mabadiliko kama wanavyojinadi bali ni uroho wa madaraka kwa mtu mwenye uroho na chama chenye uroho, lakini hawezi na hawawezi kushika madaraka ya kuongoza nchi,” alisema Makamba.

Alisema kinachoendelea kwa vyama vinavyounda Ukawa ni maigizo na siyo mabadiliko ya kweli kwa sababu mgombea urais ametoka CCM na Sera za CCM na mgombea mwenza ametoka CUF na sera za huko, hivyo hawawezi kuungana kwa pamoja kwa sababu hawajui nini maana ya kile wanachogombea.

Hata hivyo, Makamba alikiri kuwa uchaguzi wa mwaka huu ni mgumu kuliko uchaguzi wowote uliowahi kutokea katika mfumo wa vyama vingi na akawataka wana CCM kujiandaa kikamilifu.

Alisema CCM kinapaswa kuwa makini na imara wakati wote ili kutoyumba na wakifanya hivyo watajikuta wanapata mchanganyiko ambao utaleta shida katika maendeleo.

Kwa upande wake mgombea ubunge Mavunde alijipachika jina la Mr Makao akisema lazima ataipelekea Dodoma hadhi ya kweli katika kufikia makao ambayo yamekuwa yakisemwa kama hisani.

Mavunde aliomba wananchi kumwamini na kumpa nafasi hiyo kwani ana uhakika kwa miaka mitano ataifanya Dodoma kupaa kiuchumi huku akisema atashughulika na watu wenye kipato cha chini pamoja na kumaliza migogoro ya ardhi.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Msenge wewe January
    Kama una makza jk au yeye anakukaza
    Yote kheri funga domo lako na funga libwata lako
    Tuachie lowassaa wetu

    ReplyDelete
  2. Usanii ni nyie wote huko ccm mpaka mmeifanya Tz iittwe bongo. Mnawadanganya watanzania na a hadi za uongo kila nwaka. Shame on you makamba. Mnnafikiri ww, babako, kikwapa mkewe, na watoo, kikwete, ridhiwani na mkewe je mna hati miliki ya rasilimali za nchi yetu? Kwamba ni nyie tu. Sisi wengine tuishi kama malofa na wapumbavu kila siku. Shame, shame shame on you all ccm mijizi

    ReplyDelete
  3. Msege huyu
    Mtoto kunyonyoka nywele
    Kwa laana
    Ya mama yake aliyefukuzwa shule ya msngi kisa kupewa mimba na ex katibu mkuu wa ccm makamba
    Yeye na ridhiwani wana bebwa Kwa nguvu za wazee wao fuck fuck

    ReplyDelete
  4. Ccm woooooooote mnafirwa piano nyoko zenu mwaka mtachorea mkaa washenzi nyie

    ReplyDelete
  5. january makamba wewe na Waziri Mkuu Pinda nani na nani? Ina maana Kikwete anakupendelea wewe? Ina maana Pinda hajafanya kazi miaka yote 8 aliyokaa chini ya Kikwete? Je wewe na Dr. Bilal Makamu wa Rais na nani na nani? Sishangai hao watu hapo juu wakakupachika hayo majina yote hayo! Labda unayastahili! Ww na Nape na Kinana mnaona kama hii nchi ya Tanzania ni Yenu? Hamna hati miliki ya kutuongoza watu milioni 50!! Hii si nchi yako pekee na babako; au si nchi ya kikwete pekee na salma na ridhiwani; au nkapa na mkewe!!! Lo. Kaeni chonjo sasa. CCM sasa basi. Mnaomba kura za akina mama wakati wakienda kujifungua wanalala wanne kitanda kimoja au wanalala sakafuni? Sasa ccm inajivunia imefanya nini? Kwa sababu kikwete anapanda ndege na wewe kila baada ya mwezi mmoja kwenda D.C. na NYC kula mabata pamoja na hela ya walipa kodi? Ni kwa sababu mnachota wote NDIO maana ccm nzuri. Njoo hapa ukae kijijini KWA MWEZI mmoja kama HUTAICHUKIA CCM! Ww na Kinana mnaona nchi YENU nyie TU? Wapuuzi sana nyie. CCM miaka 50 INAWATOSHENI!! Ondokeni TUNAWAONYESHE JINSI YA KUENDESHA NCHI HII KISAYANSI! Eti lap-top kila mwalimu? Watoto wanakaa chini mnadhubutu kusema hayo? Eti shule bure hadi FORM IV? Mmeteremesha madaraja ya KUPASISHA WATOTO wetu, ili ionekane wamepasi WENGI? Hata mimi ni mwalimu, LAKINI CCM hampati KURA YANGU NG'O!! Sasa nasema CCM miaka 50 imekutosheni! Mlichochukua kinawatosha! Mmetufanya sisi ni mahali pa kuchumia ni MFEREJI wenu! Basi! Ondokeni salama kabla mambo ya Arab Spring hayajawakuta kwa sababu ....mtajutia huo udikteta wenu! Ee Mungu tulinde wanao tunaotaka mabadiliko sasa hivi! Eti ukombozi uliletwa na CCM ukombozi gani? Kwa sababu nyie mnakunya chai na bacon? Kwa sababu nyie mnakula lanchi na desert? Kwa sababu mnakula dinner na wine? Ebo? CCM ni ugonjwa wa KANSA. CCM ni KIPINDUPINDU. CCM ni sawa na EBOLA! CCM ni SAWA SAWA NA UKOMA!! WAHEDI!

    ReplyDelete
  6. Nyie wote mnaotukana mmelaaniwa na mama zenu hawakuwazaa kwa njia ya kawaida mmetokea matakoni subirini tarehe 1 Septemba ni hiyo kesho tu muendelee na upuuzi na wendawazimu wenu kama hamkuishia magereza halafu mseme wapinzani mnahujumiwa

    ReplyDelete
  7. Hakuna njia kujibu bila kutukana!!???

    ReplyDelete
  8. Unaambiwa ikulu siyo ya babaako ni ya watz wote maneno yenu kila cku yanajirudia mmekosa jipya kamavhuna la kuongea kaa kmya

    ReplyDelete

Top Post Ad