Majambazi wenye silaha wamevamia daladala inayofanya safari zake Ubungo-Kariakoo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Majambazi wamevamia daladala Ubungo Kariakoo maeneo ya Jangwani, mtu mmoja (abiria) aliyekuwa amebeba mfuko amepigwa risasi, watu kadhaa wamejeruhiwa. Majambazi haya yalikuwa na Pikipiki aina ya Boxer , kabla ya kupiga risasi walitaka abiria atoe hilo fuko la fedha yeye akagoma akiaangalia kama atapata msaada kutoka kwa abilia ndipo walimwambia dereva kusimama na kutwanga risasi huyo abiria akaachia fuko linalosemekana kuna fedha, haijajulikana ni fedha au ni dhahabu/Tanzanite maana abiria alikuwa awezi tena kuongea.

Taarifa kamili zitawajia
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Isije ikawa ukoo wa panya wanatafuta hela za kampeni baada ya mafuriko kuwakaba vilivyo alafu wazue zengwe eti jangwani kesho hakuna mtanange wa Ukawa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hiyo ndio kazi ya jizi Lowasa akiwatumia maapolo wake!Jamani haya majizi eti maukiwa ni hatarii!

      Delete

Top Post Ad