Mambo 20 ya Kushangaza Niliyojifunza Kwenye Mkutano wa CCM Jagwani Haya Hapa....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


1. Yamoto Band wameshangiliwa zaidi kuliko Magufuli

2. Wakati Mbowe amewakutanisha Lowasa na Sumaye. Leo Jakaya amewakutanisha Diamond na Ali Kiba Jangwani,

3. CCM wanajua kuwa mikutano ya UKAWA inapata mafuriko, kwa hiyo nao walijitahidi wapate "mafuriko"

4. Watu wengi wameenda kuwashangaa wasanii, sio kumsikiliza Magufuli. Kumuona Diamond bei ghali, leo wamemuona Live bila kiingilio wataacha kwenda?

5. Magufuli anajua lugha nyingi za makabila kuliko anavyojua matatizo ya wananchi,

6. Mkapa anahitaji maombi ya kufunga maana anazeeka vibaya. Amemuita Mpumbavu, Waziri Mkuu aliyemteua mwenyewe na kufanya nae kazi miaka 10,

7. Mwisho wa mikutano ya siasa ni saa 12 kamili lakini CCM wamezidisha dakika hadi 12:40. Ikiwa wameshindwa kutekeleza Sheria waliyoiweka mwenyewe, watawezaje kutekeleza ahadi zao? CCM hawapaswi kuaminiwa,

8. Kitendo cha Magufuli kukiri serikali inanyanyasa Machinga na mama Ntilie ni kukiri kuwa serikali yake imechoka na inahitaji kubadilishwa,

9. Magufuli amemvua nguo Kikwete hadharani. Kusema anashangaa meno ya tembo yamefikaje uarabuni ni kusema kuwa JK anashiriki biashara hiyo. Ikiwa Magufuli amesema atazuia biashara hiyo haramu, nini kimemshinda JK kuzuia kwa sasa?

10. Magufuli anajua kuwa CCM inakaribia kufa. Wakati akimalizia hotuba yake ametoa mfano ambao haukueleweka vizuri, lakini fundisho lake ni kuwa WATANZANIA MSIIUE CCM. Kumbe anajua kuwa CCM itakufa,

11. Ccm wamewadharau sana watanzania kwa kuwapandisha malori ya kubebea vitunguu, nyanya na viazi. Mtanzania aliyepandishwa lori leo akiipigia kura CCM atadhihirisha kuwa yeye ni kiazi,

12. Mzee Warioba ameshindwa kabisa kumnadi Magufuli kwa hoja. Kwa namna alivyojieleza anaweza kuzidiwa na kijana aliyemaliza form four akapata division zero,

13. Mzee Mkapa ana matusi "makali" kuliko wafanyakazi wa bar,

14. Bila msaada wa malori na kujazia bodaboda mafuta, uwanja wa Jangwani leo ungekua mtupu,

15. Warioba anaipenda CCM zaidi ya anavyoipenda Tanzania,

16. Rais Kikwete amekiri kuwa Magufuli alikua chaguo lake, it means hakuwa chaguo la wanaCCM. Kwa lugha rahisi Kikwete amedhihirisha kuwa alienda Dodoma akiwa na majina yake mfukoni kama ilivyodaiwa,

17. Kwa kuwa Polepole alikiri Warioba ni "Role Model" wake, leo tumemjua anayemtuma Polepole kutukana UKAWA,

18. Jeshi la Polisi linatumika kisiasa. Wameshindwa kuzuia maandamano "haramu" ya CCM na kuzuia mkutano ilipofika saa 12 kamili kama sheria inavyotaka,

19. Miongoni mwa watu wanaopaswa kuchunguzwa UKAWA ikishika dola ni pamoja na Jaji Joseph Warioba na Mzee Mkapa,

20. CCM haifai kuendelea kuwa madarakani baada ya October 25.

By G Eng Ole Philemon
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

43 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ukweli kabisa hivi MAJI,ELIMU,MIKOPO KWA WANAFUNZI, UFISADI, GAS na Umeme ni vitu vya kuombea kura? tusiwe wajinga tujipime na

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unadanganyika ya kwamba Watanzania wote tutakuwa matajiri?
      kwa hilo ndio linakubalika kuombea kura?

      Delete
  2. Mpumbavu maana yake ni mtu kufanya kitu isivyotakiwa uku akijua anatakiwa afanye nini.kwa maana hiyo unapowadanganya watu uku ukweli upo na unaujua ni upumbavu.

    ReplyDelete
  3. Umekosa vyakuandika

    ReplyDelete
  4. Ulitaka aandike uongo halafu apigiwe makofi ya pongezi. Kaandika ukweli ila kwavile imekugusa lazima utukane

    ReplyDelete
    Replies
    1. ni KWELI TUPU ULOANDIKWA HAPO..ongera bbabbaaaaaaaaaaaaa

      Delete
  5. Mwandishi kalewa cocain na mirungi ndiyo inayomsumbua

    ReplyDelete
  6. Wewe udaku unalipwa utapekuwa sana kupaka choo lakini haikusaidii mtumikie kafiri upate ujira wako Magufuli mbele kwa mbele huna lako jambo na uchambuzi wako wakiana wakutumwa

    ReplyDelete
  7. lile lilikua ni Tamasha la muziki kama yalivyo matamasha mengine tulifuata muziki huku tukiwa na visu vyetu vya tarehe 25 octoba Mfukoni tukaserebuka wengine tukabahatisha maji na juice vya ccm bure wajinga ndio waliwao PUMBAVU SANA tunasubiri kwa hamu kubwa kumshuhudia Mheshimiwa EDWARD NGOYAI LOWASSA akiapishwa na mhe.jaji mkuu kuwa Rais wa awamu ya tano TANZANIA

    ReplyDelete
    Replies
    1. Utamshuhudia akiwa 'ICU' Muhi2 baada ya kuchinjwa October 25..............

      Delete
  8. Mwandishi kaongea kweli tupu ccm hamna akali kazi ushaniki mandazi tuu fungukeni kenge nyie hamuoni mapesa yote yalichotwa hamuoni kiwango cha elimu hapa bongo hamuoni mahosipitali ya serekali yalivyo mabovu ingekuwa hao ccm wanawapenda wangeboresha at a sekta ya afya basi hawarekebishi wakijua wanamabilioninyetu wenyewe wanatibiwa ulaya watoto wao wanasoma ulaya kweli nyie mnanyolewa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unazungumzia CCM 'A' au 'B'??

      Delete
  9. Asante sana udaku, hivyo vitu wanavyosema watavifanya wakipewa uraisi ni kwa nini hawakufanya miaka yote hiyo zaidi ya 50 ya Uhuru? Nasema hatudanganyiki tena. Kila baada ya miaka 10 maneno ni hayo hayo, uwi tumeichoka CCM na viongozi wake wote. Mi nasema washindwe tu tena washindweeeeeeeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
    Replies
    1. Usisema tumeichoka semea nafsi yako kwamba umeichoka, pia ufafanua unazungumzia CCM 'A' aud 'B'??

      Delete
    2. hapo hakuna ccm a wala ccm b,wote ni wale wale weziiiiiiiiiiiii

      Delete
  10. Mimi umeona vitu vya msingi kumbe umeona mawazo yako hata upindishe jamaa ni jembe uwezi mnanisha na lowassa

    ReplyDelete
  11. Sasa we bana udaku sherehe za ufunguzi ulitaka maana yake nini watu wasifurahi wakae kama kilioni sindo ungeuponda kabisa na kuuita majanga na ya Lowassa utasema watu wamecheza kufuru ni historia funika bovu you are negative guy and always you will be negative even if there solutions because you will never be part of solutions

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwa hiyo mmefulahi mpaka mkazidisha muda wa kumaliza
      kampeni

      Delete
  12. ilikuwa FIESTA mimi mwenyewe nilienda, sijawahi kumuona diamond live nimeinjoi sana lakini kura yangu UKAWA,hihihihihihihi!!!!!!!!

    ReplyDelete
  13. Hao wanaendekeza ukanda wa kaskazini. Lowasa wa Kanda ya Kaskazini, SUmaye wa kanda ya kaskazini, Mbowe naye ni mkwe wa mwenye chama hukohuko kanda ya kaskazini. Sasa tukiwapa urais situtakuwa tumeipatia familia ya wachaga, wapare, wamasai na waarusha. Halafu walivyo walafi wa fedha na mafisadi kweli sisi akina kapuku wa Namtumbo tutaambulia kitu kweli

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sio mbaya ili mradi wote ni watanzania, Hebu acheni hizo fikra potofu za ukanda

      Delete
  14. October 26 ndio mpango mzima, ,,, wengine sie mashabiki tu wa kutukana kura hatupigi matusi yametujaaa, ,,,,, Mungu ibariki Tanzania.

    ReplyDelete
  15. HATA MIMI UKAWA OYEEEEEEEEEEEE, WABAKI WASIO JITAMBUA MPAKA WASTUKE RASILIMALI ZOTE ZIMEKWISHA

    ReplyDelete
  16. Edu ni fisadi papa limekopa fedha nje linataka kurudisha kwa ges watz tunasema nooo bora angekuwa slaa ningempa kura yangu.

    ReplyDelete
  17. ccm badala ya kuja na HOJA wanatuletea SANAA (usanii HUU) si ndio jameni?

    ReplyDelete
  18. MIMI HAPO KWENYE NAMBA 13 BADO NAJIULIZA, HIVI? HUYU MZEE MWENYE MDOMO MCHAFU NAMNA HII NDIE ALIKUWA RAIS WA TANZANIA? AU,NAONA KAMA NP NDOTONI ,KWELI WATANZANIA TUAMKE KAMA VIONGOZI TUNAWACHAGUA LEO HII,LEO HIII,LEO HIII,LEO HIII TUNAKUWA WAPUMBAFU NA MALOFA KWELI CCM HAINA SHUKURUNI KABISA

    ReplyDelete
  19. ccm wametuibia kwa miaka 60 (umri wa watoto; na wajukuu zetu); lakini sisi tunawebeza tu. Sisi wasanii tumekwenda kwa sababu tumelipwa; mwisho wa siku - kura yetu wataiona hiyo inapea kwa Lowasssa TEAM! Pesa zao tutaendelea kuzila; mwisho wa siku si mimi na kitambulisho changu cha kupgigia kura bwana!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hapo ndio umesema kwamba kura ya mtu ni siri ya mtu hamna cha lowasa team wala magufuli ccm. fanya yako njaa iko pale pale....

      Delete
  20. EE mungu tuongoze katika mapambano yetu ya UKOMBOZI tunaopigania. MWONE Kikwetu kaenda kupasua JIBU tu marekani; je mimi LOFA nitafanyaje kama nina cancer ya uzazi; ya ziwa; au mtoto wangu amepatwa na tatizo la ubongo AU MOYO! Mwone Marehemu Mgimwa alienda kutibiwa South Africa! (Mungu amrehemu)! Je mm mtoto wa maskini nitatibiwa wapi? MWANANYAMALA? Mwone Mkapa anaishi jumba la hekalu kama Marehemu King of Pops Michael Jackson (Mungu amrehemu) - pesa uliipata wapi? Pesa za raisi wa Tanzania ni shilling ngapi? Je mm ambae naishi kwenye kibanda maiti? Je mimi LOFA? mm fala? mimi mpumbavu ninaeshe manzeshe hakuna maji mara nne kwa wiki? Mm ninaeishi manzese umeme unakatika mara nane kwa siku? kikwete kasafiri mara elfu mia na moja...kwenda Marekani BILA hata TIJA - yeye na mke na marafiki zake wa kike; je baba yangu aliyeretire - mwaka 1990 mbona hadi leo pesa yake ya retirement BADO? Mbona anahangaika tu hapo hazina. Kwani ni lazima aende hazina DAR? eNZI ZA WWW.NET? WWW.COM? Mbona anataka kulipia kiwanja chake akienda ardhi wanataka kitu kidogo? Mbona Kikwete ana nyumba mikocheni; ikulu na sasa huko MBOGA chalinze? Amepata wapi pesa zote hizo? Mbona Magufuli ana hekalu kule chato - tuambiane amepata wapi pesa zote hizo kama waziri wa serikali maskini kama tanzania? Mbona mawaziri wenzao wa ulaya; marekani; canada na japan wanapanda matreni! Nyie mnapanda V8--- mafuta nani anawakea? mna viyoyozi kwenye magari ya serikali sisi malofa tunaendesha mikokoteni YETU. Na bado mnataka kura zetu! Mungu ailaze mahala pabaya ROHO ya ccm inayokaribia kufariki leo! Amina

    ReplyDelete
  21. Chamsingi nyie wooote na udaku wenu mkakojoe mkalale tuuu, mwenye kushinda atashinda we piga debe la ngozi ya nguru lkn atakujua nani, na hiyo pia ni kampeni kiufupi unatumika.

    ReplyDelete
  22. eti magufuli ansasema nitajenga viwanda? how? kama mwinyi na kikwete wameshindwa kujenga viwanda wewe utawezaje> mbona hukuweza kuelezea utafanya hivyo kivipi. mm nikeupenda kwa kujua lugha zote za tanzania; lakini mwenzangu wewe na mimi, hakuina hata moja katika hizo lugha inatumika umoja wa mataifa - sasa utaomba watu wa kukutafisiria kama wachina wafanyavyo? Ungesema hivyo [kwamba hata ukienda umoja wa mataifa hutatumia kiingereza - BASI ungescore point!!]. Lakini kwa kuongea kichaga, kipare, kimasai, kinyakyusa...lol....umescore zero hapa....! Natamani cnn wangekuwa hapo wakatumia ile mizani yao ya kupimia response ya watu! Si umeona hata JANGWANI hakuna hata mtu mmoja alikuwa akikushangilia [MOST OF THE SPEECH TIME], maskini, MPAKA MAGUFULI AKAWAOMBA WASANII WASIKIUE CHAMA CHA MAPINDUZI. Kumbe Magufuli akiachwa mwenyewe bila kikwete, au Pinda, atahamia UKAWA. Kisa: ANA IMANI NA KIKWETE! Hata KAMBARAGE LEO, ANGEAMKA ANGEKUWA NA IMANI NA EDWARD (alizoea kumwita Edward] Sisis tunamwita, Eddy! Edo... Team L....NA KA.....NI yeye anayeweza kufanya kazi. ya mabadiliko si MAGUFULI anaiga HOJA ZA WATU NA KUZIFANYA ZAKE.....Jamani mmeona MAGUFULI KESHAIGA SALAAM ZA UKAWA....Asalam Aleikhum; Tumsifu Yesu Kristo. Bwana Asifiwe...yote hiyo ni chadema/ukawa! Umemwona Magufuli akiiga. Theme ya MABADILIKO? Ningekuwa mwalimu wake ningemfelisha kwa sababu HAJAKIRI Kwamba anaborrow hii misemo kutoka kwa watu wengine! Magufuli, please acknowledge that the sentence I AM ABOUT TO USE WAS SAID BY....!! Ndio utaskoo point kwenye mikutano yako! Usiibe sentence za watu!, hasa HOJA ZA CHADEMA! Wenzako waliziiga, wakashindwa kuzitekeleza!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hoja za nani wewe msenge wakati UKIWA hawajazindua kampeni au wameshazindua matakoni kwako si hatuna habari

      Delete
  23. MIE MUGUFURI AMENICHANGANYA SANA AMESEMA ATAUNDA MAHAKAMA YA MAFISADI,AMESAHAU MAFISADI PAPA WOOTE WAPO CCM ,AKIWEMO MWENYEKITI WAKE NA FAMILIA YAKE,MZEEE WA MATUSI,MZEE WA RUKSA,NA MACCM YOTE,NIKAMUANGILIA BASI SINA MBAVUUUU, HAPO,LAKINI NIMEGUNDUA KIMWILI YUPO CCM ILA KIROHO YUPO UKAWA

    ReplyDelete
    Replies
    1. Fisadi nyangumi ndio mgombea urais wa chadema, atajutraaaaaaa

      Delete
  24. ukiona hedline utasema ni mtu mwenye akili kaandika ,.............ukianza kusoma kama unaakili timamu utatamani usiendelee ila unaendelea ili upate jao kitu cha kumshauri mr udaku...........Acha kukurupukia mambo ambayo hujui kenge wewe kama ww unamshabikia mamvi wako ci usubiri sku akienda uko uwanjani na yeye ukacikilize hizo pumba zake FISADI papa ..............NB,,,Urais hapati subirini oct 26 kwenda ICU...MAGUFULI mbele kwa mbele,

    ReplyDelete
  25. MAFISADI WOOOOOOOOOOOOTE WAPA CCM WANANENEPA WATANZANIA WAKONDEANA, NA MNATAKA KUWAPA ULAJI TENA MTAJUTA MPAKA MJAKUPATA AKILI

    ReplyDelete
  26. ACHENI MATUSI JENGENI HOJA, HAPA HOJA TU KAMA HUNA SHOOOT UP

    ReplyDelete
  27. Hahahahaha Mbavu zangu mie MAKUFURI ANAPOISHANGAA SERIKALI YA CCM ,NINGEKUWA KIKWETE NINGEMSHUGHULIA a.k.a Kitengo

    ReplyDelete
  28. Hivi ile list of shem wale mafisadi wa ccm wapo wangapi vile??

    ReplyDelete

Top Post Ad