google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Maneno ya Batuli Kuhusiana na Moto Uliyo Teketeza Nyumba yake Jana Akiwa Kwenye Uzinduzi wa Kampeni CCM | UDAKU SPECIAL

Maneno ya Batuli Kuhusiana na Moto Uliyo Teketeza Nyumba yake Jana Akiwa Kwenye Uzinduzi wa Kampeni CCM

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Staa wa Bongo movie Batuli, leo amepatwa na ajali ya kuungulia nyumba yake kwa moto wakati akiwa kwenye miangaiko yake ya kila siku katika uzinduzi wa kampeni uliyofanyika Jana Jangwani Dar es salaam.
Watu wengine wamehusisha swala hili na mambo ya chuki za kisiasa lakini me namshukuru Mungu hakuna aliyepoteza maisha wa kujeruhiwa katika ajali hii, ndani kulikuwa na mtoto wa ndugu yangu lakini jirani walivunja vioo na kumnusu lakini mali hakuna nilichookoa zaidi ya magari yangu tu"

Aliongezea kwakusema kwasasa yupo kwenye kikao kwaajili ya mipango ya kupata makazi mengine hapo kesho panapo majariwa.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wasanii hachaneni na siasa mana nyie ni wafanya biashara sasa kwa nini mnaangaika na siasa... mnapotea njia,

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wasanii waache siasa kwani sio watanzania na wao wana haki ya kidemokrasia kumchagua kiongozi wamtakae ila ndo nyinyi watanzania halisi wenye haki ya kuchagua kiongozi wa nchi wacheni visasi na husuda zisizokuwa na tija Tanzania ni ya wote

      Delete
  2. Day pole sana mwaya ajali ya moto huwa kumba wengi na siasa haihusiki hapo ingekuwa no siasa mbona za kina diamond wema na wengine hazijaungua na wawo walikuwa ccm kushabikia usenge pole yako utapata vingine vizuri zaidi ya vilivyo ungua

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wakishabikia wengine unaita usenge, wewe mwenyewe ulikodoa mimacho kushuhudia kinachoendelea, nyooooooooo mtumzima hovyoooooooo.........

      Delete
  3. waliounguliwa na nyumba oyeeeeeeeeeeeeee!wanaoishabikia ccm oyeeeeeeeeeeeeee!laana hiyo inawafuata mmemtukana mzee wa watu kwamba anaumwa sasa ndio majibu yake hayo,malipo hapa hapa duniani na bado.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unalaana ya mchana hichi kitu sio cha kufurahia hata kidogo hata kama kuna kuhitilafiana ktk ukereketwa ushabiki ktk shida usifanye mzaha na kukipongeza siku ukija ng'olewa jicho unataka watu wakuchezee mdundiko hii sio demokrasi huweza kuwabalidilisha watu kwa kutumia nguvu hii inaonyesha wapinzani hamna mwamko na mnakitia aibu chama chenu mbele ya umma wasifikirie kuwapa dhamana ya kuwatawala kwani mnaonyesha ni madikteta kupita kiasi mtaleta vurugu na chuki binafsi kabla ya kushika dola ni watu wa visasi mnahitaji maombolezi muombewe zishindwe nafsi za kishetani

      Delete
    2. Umezungumza kweli kuna Leo na kesho yakijamkumba yeye na wengine tumpigie makofi tuone km atafurahi....wtz tuache roho mbaya

      Delete
  4. Kumtukana yule mzee kwamba anaumwa ni kitu cha kufurahia,na ata Kama anaumwa ni kitu cha kufurahia ?au mkuki kwa nguruwe?NARUDIA NA BADO LAANA ITAWAFUATA POPOTE MLIPO.

    ReplyDelete
  5. Saa hizi ndiyo mnakuwa wapole?pambafu zenu,mjue mkimwaga ugali si tunamwaga mboga.mnakaa mnatukana watu alafu tuwaangalie tu?kima maji nyie.

    ReplyDelete
  6. Usiwe na wasiwasi batuli kikwete atakujengea nyingine au muombe magufuli,hahahaha!!!!!

    ReplyDelete
  7. kila mtu ana haki ya kumchagua amtakaye, wana ccm wenzangu mjitokeze 25 oktoba 2015 kupiga kura na wala usione uvivu kwenda kupiga kura maana hao ukawa ni sawa kinyago tulichochonga mwenyewe hakiwezi kututisha.

    ReplyDelete
  8. wewe uliyeunguliwa na nyumba ni nani katika hizi siasa kubwa za vuguvugu la uchaguzi.jee ni mgombea udiwani au ubunge?SIELEWI.ni hivi majanga ya moto yana vyanzo vingi sana.Mnakumbuka sehemu ya Ikulu enzi za Mkapa iliungua chanzo mpiga pasi wa Ikulu kwa haraka zake aliiacha pasi ON ikadondokea kitambaa upepo mkali ukalipuka moto.Yapo pia makusudi,zipo pia Hitilafu za wiring.SIKU ZOTE MTU MPUMBAVU[neno la heshima la mkapa] hukimbilia zaidi kuzua uongo hata akiugundua ukweli

    ReplyDelete

Top Post Ad