Mbowe: Tumuombee Dr. Slaa kwa Mungu ampe moyo wa ujasiri!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwenyekiti wa CHADEMA amewataka wanachama kumuombea kwa Mungu Dr. Slaa ampe moyo wa ujasiri katika kipindi hiki kigumu ambacho chama kinafanya mkutano wa kumpitisha mgombea wake wa urais!

Mbowe amesema Dr.Slaa hatashiriki katika mkutano huo kwa kuwa atakuwa kwenye mapumziko!

Hata hivyo Dr. Slaa bado ndiye Katibu Mkuu wa CHADEMA na ataendelea na kazi zake baada ya likizo yake!

Source:EA Radio
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Siasa is a dirty game Chadema ni over Wajanja kuliko CCM

    ReplyDelete
  2. Kina Edo, Mbowe wakipewa nchi sijui kama tutasalimika maana siasa za uongo dhahiri kweupe ni hatari kuliko ufisadi ya Dr.Slaa wanaanza kutupiga danadana, ni heri ya zimwi likujualo CCM haya matumaini ya safari ya Edo yatatutokea puani.

    ReplyDelete
  3. [7/28, 7:27 AM] EM: WASIFU WA MAREHEMU
    Historia fupi ya marehemu CCM.marehemu CCM alizaliwa tarehe 05/02/1977 enzi za uhai wake marehemu alijishughulisha na kuua mazao ya biashara kama pamba ,tumbaku ,kahawa ,korosho na katani.
    Marehemu atakumbukwa kwa kazi kubwa aliyoifanya kwa bidii ya kuua viwanda kama Mwatex ,Mutex ,Kiltex ,Ufi ,Bora ,na Tenelec ,Mgololo ,Tanganyika packers na Viwanda vya Maziwa pia aliwaleta na kuwapa wageni mali za watanzania.

    Marehemu atakubukwa pia kwa kuacha wachina Kariakoo ,Waarabu Loliondo ,Makaburu Mererani na wazungu wa kila aina kwenye migodi yote ya madini na gesi nchini.

    Marehemu atakumbukwa zaidi kwa tuhuma za Ufisadi ,Umasikini ,Ujinga ,na huduma mbovu za maji na umeme ,afya ,miundombinu ,Elimu na Uuzaji hovyo nyumba za serikali.

    Marehemu ameacha mke mmoja jina ni ACT na watoto wawili UDP na TLP bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe na libarikiwe.

    🏃🏃🏃🏃🏃🏃
    [7/28, 7:28 AM] EM: Marehem CCM pia ameacha vitukuu (Nape na Mwigulu) ambao havijui kucheza soka bali vinavyoamini ushindi kwenye soka ni kufunga magoli ya mikono

    ReplyDelete
    Replies
    1. huna lolote marehemu ni wewe na chadema na hao wajinga wenzako wakina mbowe na bado mtaisoma namba mpaka mchanganyikmiwe

      Delete
  4. Chadema maharamia hoa wakiongozwa na Mbowe Pole Dr Slaaa ungeyajua hayo toka awali ungebakia kwenye upadri wako ona sasa wanavyo kunyanyasa nani asiye jua lowasa fisadi ana mjengo south afica anamiliki leo awe raisi atawauza mpaka vitukuu venu raisi wa matajiri mi maskini ata ni inua vipi

    ReplyDelete

Top Post Ad