Mhe. Lowasa Hukukidhi Kiu ya Wanawake! Nilichotegemea Sikukipata

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nimefatilia kwa karibu sana sana hotuba ya Mhe. Mgombea u Rais kupitia UKAWA aliyoitoa hapa LAPF kwenye kongamano la wanawake BAWACHA na kubaini jambo moja kubwa sana.

Kauli mbiu ya kongamano ni "LOWASA NA HATMA ZA CHANGAMOTO ZA WANAWAKE TANZANIA"

Nimesikitika kuwa nilitegemea kwenye hotuba Yake ataweza kuelezea mikakati ya ukombozi huo wa mwanamke. Nasikitika kuwa sikuona mahali popote akiongelea changamoto hizo na jinsi ya kuzitatua.

Ameishia kuimba Wimbo wa Mhe. Magufuli "Alinselema Hadija, mchaka mchaka chinja" na kuzungumza mambo ya MAHABA!!!!!!!!

Nasikitika kusema mimi kama mwanamke nimeondoka na kiu yanguuuu!!!!!!!!!! Ngoja nimsubiri mzee original wa Alinselema. I hope atatuondolea kiu hii!!!!!! Tunataka kuona SERA za ukweli za kumkomboa mwanamke, sio MAIGIZO.

Naomba kuwasilisha.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

39 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Acha uongo wewe
    Kibaka wa CCM
    Subiri akupe magufuli changamoto
    Tuwachie Lowassa wetu

    ReplyDelete
  2. Malaya huyu alifuata mabwana
    Aende huko huko CCM
    Lakini mpigie sana kampeni magufuli lakini wake bi Janet ngojeni aingie ikulu mtajuta malaya nyie

    ReplyDelete
    Replies
    1. Anaekutomba akutoshelezi mkundu wewe.

      Delete
  3. Ulitegema upate bwana

    ReplyDelete
  4. Mtakoma jumamosi na ilani yetu nsjuwa mengi mmeiba toka ilani yetu iyoandikwa na Dr Slaa
    Mmezoea copy and paste ndo maana 5o years nothing nothing nothing happened poor you CCM

    ReplyDelete
  5. Watu mnapenda maneno mengi ambayo yanaonglewa tangu 1961 . maneno machache vitendo kukata. Ukawa oyeeeeee

    ReplyDelete
  6. atazungumza nini nahuku udenda unamtoka?

    ReplyDelete
  7. labda alisahu nini anataka kusema, akaishia kuimba.

    ReplyDelete
  8. anaugonjwa wa kusahau, msimlaumu sana,

    ReplyDelete
    Replies
    1. We Dr wake jk, pinda,kinana, magufuli na viongozi kibao wazima

      Delete
  9. Mtasubiri sana mtakumbuka shuka kumekucha sikio la kufa mlishambiwa Edo hafai damu ni nzito kuliko maji yeye ni CCM Damu Ameishia kuimba Wimbo wa Mhe. Magufuli "Alinselema Hadija, mchaka mchaka chinja" na kuzungumza mambo ya MAHABA!!!!!!!! Hivi ni kinani machizi wanaomshauri huyu mzee ndo wanaomtia wazimu kabisa wacheni masihara bado anafikiria yupo CCM anaota kuwa yeye ni mgombea wa uraisi kupitia chama cha CCM wajameni hebu fikirieni mara hamsini mmerogwa au mmejiroga wenyewe Je kuna safari ya matumaini na mapinduzi hapo tena mtakufa na kihoro jipangeni upya kuingia Ikulu labda baada ya miaka 10000 kama ndo mdundo wa staili hii

    ReplyDelete
    Replies
    1. ACHA FIKRA MGANDO. MABADILIKO NI LAZIMA KWATAIFA LILILOCHEZEWA KAMA TANZANIA. MNALITIA HASARA SANA TAIFA NINYI WENYE AKILI NDOGO.

      Delete
    2. U mgojwa kuliko wagojwa
      Toa upsizing wake hapa mbona husemi zones zomea ya moshi na Arusha ya mgombea mwenza

      Delete
    3. HATA MJINGA AKINYAMAZA HUONEKANA MWEREVU..USHABIKI KAMA HUU USIOSHIRIKISHA AKILI NI JANGA LA TAIFA.

      Delete
  10. KUWA MKWELI FITINA HAZITAKUSAIDIA UNATUMIKA VIBAYA NA CCM. TUMIA AKILI YAKO. NI WAKATI WA UKOMBOZI NA MABADILIKO. MAKOMBO WALIYOAHIDI KUKUPA HAYATAONDOA KIU YAKO. UTUMWA WA FIKRA NI MBAYA KULIKO ULE WA MKOLONI.

    ReplyDelete
  11. TUMIA AKILI ACHA KUTUMIKA. Una tatizo kubwa sana kwanza akili yako hina uwezo wa kuelewa na kuchanganua mambo ikiwa ulichoandika ulishirikisha ubongo bila kuwa na agenda potofu moyoni, pili unatumika halafu wewe si mkweli unapotosha jamii bila woga wala aibu kwa ujira wa makombo wanayosaza hao unaotarajia kukulipa fadhila.

    ReplyDelete
  12. ULIAKA MHESHIMIWA AWAAMBIE KIU GANI ZAIDI YA HOUBA NZURI SAFI YENYE MSISIMKO WA MAISHA YA BAADAYE NDANI YA DOLA MPYA YA UKAWA MAISHA YATAKAYOANZA BAADA YA TAREHE 25 OCTOBA 2015.UANDISHI WA CHIZI ALIYENITANGULIA HAPO JUU AMBAO NI WA NAPE MAKONDA UNAEGEMEA WASEME NINI WAIUNGE MKONO UKAWA?WAMHESHIMU MHE LOWASSA?WATOE HATA CHEMBE YA SIFA?WASIFIE KUSHINDWA KWAO OCTOBA.UMEIONA SENTESI YA MAKAHABA HAWA WA SIASA KWAMBA HATA KWA MIAKA ALFU KUMI CCM HAITASHINDWA NA KWAMBA SISI WATANZANIA KWA MAMILIONI AMBAO TUMEKWISHA AMUA KUMCHAGUA MHESHIMIWA LOWASSA TUMEROGWA KASAHAU NAPE MAKONDA KUWA SIO UU KWAMBA CCM WAMELOGWA NAPE ANANUKA UVUNDO WA KUSHINDWA OCTOBA.NAPE ALIISIKILIZA HOTUBA HII KWENYE LUNINGA WAKATI TAYARI KIKWEALISHAMTAYARISHIA SCRIPT YA KUMCHAFUA RAIS WETU MTARAJIWA.TUNASEMA HIVI HII NI DHAHIRI KWAMBA CCM INAENDELEA KUTUPIA MAWE YA KUJIANDAA KUZIMU HUKU WAKIWA WANASAGA MENO.YANAKUJA KWA UPANDE WAO BAADA YA UCHAGUZI HUU SIMANZI VILIO KUSHIKANA UCHAWI NA PENGINE NAPE MAKONDA KULAWITIWA NA WANA CCM WENZAO WENYE HASIRA KALI NA KWA KUA NAPE NDO KAMCHEZO KAKE SASA AAAMUA AKAOLEWE KABISA MSOGA KWA STRAUSS

    ReplyDelete
    Replies
    1. Anony Mdau 10:16 PM Nape na Makonda walikubaka bila ridhaa yako nini ndio maana una hasira ya nini matusi hayajengi silaha kali ni ukimya sio kuropoka mpaka unaonekana mjinga kumbuka hii ni karne ya demokrasi bila kelele wa mikwaruzo subiri October 25 hukuna atakae kunyima haki yako ya kupiga kura uone nani atakwenda kuzimu

      Delete
    2. MATUSI HAYAJENGI. LETA HOJA ZA MSINGI ILI MTU WA CCM AKISOMA ABATE MSISIMKO NA KUBADILI MAWAZO YAKE ILI AWEZE KUPIGIA UKAWA KURA. MATUSI HAYASAIDII KITU

      Delete
    3. Nani abakwe na Nape au Makonda
      Wote si wenzetu tunashindana nje lakini ndani Kama siye
      Chakuka cha bwana bibi
      Kama in wali boko boko
      Mchicha mwiba hao

      Delete
  13. Wewe Free mind unaposema mtu anatumika vibaya na CCM una maana gani kweli ukweli unauma umekalia kusema makombo sijui mabaliko kiu kwa usenge wako watu wanazungumzia matukio halisi yanavyoendana na kampeni ya uchaguzi sio kuleta maoni yako binafsi ya kuchanganya na ushabiki haukatazwi mabadiliko lakini hayaletwi kwa kutishia watu na kuleta mifano ya kikoloni mabadiliko yanaletwa na mtu sahihi mwenye falsafa kweli za mabadiliko sio usanii basi tubururwe kisa chuki na uzandiki sasa kwa akili yako huyu Edo kapoteza hata ufahamu wa kijitambua yuko wapi na azungumze nini basi ilimradi hata kama ni sanamu iabudiwe kwa ajili ya mabadiliko baada ya Slaa mabadiliko yamepoteza muelekeo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acheni unafiki hizo ajira mlizo ahidiwa zinawafanya watumwa kupeleleza ya ukawa
      Wanga wakubwa nyie mtabskia hivyo kuwa nyumba ndogo na vimada wa CCM
      Kila chaguzi na Kila bunge mnahamia dodoma
      Kama wewe si ukawa kilikupeleka nini huko

      Delete
    2. Inawauma mkiambiwa ukweli
      Na bado Dr Slaa Dr Slaa Kwani umesikia kahama chadema subirini jumamosi
      Atakuja na Nani wanga wakubwa

      Delete
    3. Hatuna muda wa kujibizana na machizi kama Nape au Makonda
      Na tunajuwa fika Makonda atarithi kiti Cha Nape

      Delete
    4. Blog zote mnamtukana Lowassa kuna kijimange kimeweka picha za ajabu
      Sasa najuwa mnatumwa na vigogo wa CCM Makonda na nape
      Kwani mange alikuwa bongo na aridiriki kumtukana Lowassa mtaandoni na hata kabla hajaja ukawa ikumbukwe alikuwa waziri mkuu lakini serikali hakuchukuwa hatua yeyote viongozi wote wa juu CCM mlijuwa kabisa hapiti kwanini msingemwambia , akazunguka nchi nzima kutafuta wadhamini kumbe mna majina yenu. Sasa kaja kwetu bado mnamtafuta tumechoka tumechoka tuwachieni Lowassa wetu
      Hata kana mgojwa mnavosema ndo Chaguo letu
      Ole wenu Lowassa na family yake hawateteleki na ushenzi wenu

      Delete
  14. kwa mwenye akili tumuelewa,na nini lengo la mkutano huu,ila kwa mazuzu CHUKUA CHAO MAPEMA maskini hawakumuelewa

    ReplyDelete
  15. USHINDI WA UKAWA OCTOBA NI WA DHAHIRI TENA MHESHIMIWA LOWASSA AASHINDA KWA MAMILIONI YA KURA NDIYE RAIS WETU AJAE TUMTAKIE UJASIRI WA MAAMUZI MAGUMU YA KUINUA UCHUMI KUINUA MAISHA YA MASIKINI SISI MALOFA NA KUWACHUKULIA HATUA ZA KISHERIA KWA WAHUJUMU UCHUMI WETU WOTE WAKIONGOZWA NA KIKWETE MKAPA NA WENGINEYO.KIAMA HICHOOO KWA MBALI POLEPOLE KINAKUJA

    ReplyDelete
  16. Ukawa matusi yame wajaa jwa ajili ya jazba,,,,,, poleni vibaraka wa ccm tupo na tutaendelea kuwepo weee tukana sanaaaa ila ikulu mtai ingia kwa ku download, ,,,,,, habari ndio hiyo.

    ReplyDelete
  17. hilo ni la ukweli mm naona kama anatania kakusanya wa wazima na akili zao anawachezee sharu

    ReplyDelete
  18. Mtu yoyote ambae ataipigia ccm yupo katika mafungu haya matatu
    1-mzee yupo kijijin hajitambui yeye bado anajua mfumo wa chama kimoja.
    2-kama ni kijana basi ana ndugu ccm ambae anaweza kuwa ata mwenyekiti wa kata.
    3-na kama ni kijana chini ya miaka 40 basi ni mchawi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Whatever--------------------- I LIKE CCM.

      Delete
    2. 1.Naishi kijijini(LUDEWA) na mzee wangu.
      2.Sina ndugu CCM,Zaidi ya mbunge wangu D.H.Filikunjombe.
      3.Umri wangu ni miaka 32,nina mume na watoto wawili,na siujui uchawi.
      4.Nina akili timamu,Sina ajira,na najibidisha na biashara ndogondogo.
      ILA,Nilikuwa napenda mabadiliko sana kama angekuwepo Slaa NA SIO HIKI KINACHOENDELEA CHADEMA.SIWAELEWI CHADEMA.
      KABISA.APITE MAGUFULI ILI AMANI IENDELEE KUTAWALA,MUNGU IBARIKI TANZANIA.MUNGU MBARIKI MAGUFULI.


      Delete
    3. HAKUNA CHA UCHAWI WALA NDUGU CCM,NITAIPIGIA KURA CCM KWA KUWA MAGUFULI ATALETA CCM MPYAA.
      NA HANA TAMAA YA MADARAKA KAMA YEYE NI KAZI TUUUUUUUUUU

      Delete
    4. pumbavu zako

      Delete
  19. MBONA KAELEWEKA KIFUPI ULE MKUTANO ULIKUWA WA KINA MAMA WAO WAMEALIKWA,NDIO MAMA REGINA ALITUMIA FURSA KUWAOMBA WANAWAKE POPOTE NCHINI KUWAPIGIA KURA ZA NDIO,UKAWA,KESHO TUTEGEMEA KUSIKIA UTEKELEZAJI WA SERA,HATUTAKI MANENO MENGI KM YA JK ,NI
    WAKAT I WA VITENDO SIO MIPASHO,NGOJERA,MAIGIZO,VILEMBE,,

    ReplyDelete
  20. HII NCHI WANACHUKUA WATU WENYE KUJIELEWA TU, UKITAK KUPIMA UFAHAMU WA WATU WA UKAWA HATA KWA UCHACHE TU UTAGUNDUA NI WATU WA KUPANIC HAIJALISHI ANAEMPANIKIA HATA KAMA NI MTOTO WA NURSERY, JAMANI JITAMBUENI, JENGENI HOJA ZA KUELEWEKA BADALA YA KUJISINGIZIASINGIZIA MAMBO YA UZUSHI, JARIBUNI BASI HATA KIDOGO KUTUMIA AKILI YA KUZALIWA SIO LAZIMA MUENDE COURSE, KWA PICHA NILIOIONA JANA NI WAZI NILIFAHAMU KWAMBA CCM NI CHAMA CHENYE WATU MADHUBUTI WENYEKUJITAMBUA, endeleeni kurukaruka tu kama mmetekenywa na hao washauri wenu vilaza. NAJUA HATA HAPA MTAKUJA KUJIBU MKIWA MMEPANIC, mara ooh kukaa kimya ni jibu la mjinga, oo hatujibu kitu, mbona sasa karibu kila siku mnajidili suala lile lile, mjibuni basi ijulikane. YULE BABA ANAKILI SANA AMEWAPA MOJA TU MUHANGAIKE NALO WAKATI JEMBE LINAENDELEA KUCHANJA MBUGA KUNADI SERA ZENYE UBORA

    ReplyDelete
  21. Tatizo watu wanafia chama, tunachagua mtu sio chama. ukisimamisha wagombea wote wa urais, the best one is Magufuli. ukiangalia utendaji, ni best. huyo Rowassa kipindi cha uwaziri mkuu asimamishe kazi zake na magufuli wakompit tuone. fungua macho, sio unang'anga'nia tunataka mabadiliko.

    ReplyDelete
  22. Your blog provided us with valuable information to work with. Each & every tips of your post are awesome. Thanks a lot for sharing. Keep blogging.. KIU

    ReplyDelete

Top Post Ad