google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Msikilize Nuhu Mziwanda Akimtongoza Wema Sepetu..Nimekuwekea Audio Hapa....Usipitwe na Hili... | UDAKU SPECIAL

Msikilize Nuhu Mziwanda Akimtongoza Wema Sepetu..Nimekuwekea Audio Hapa....Usipitwe na Hili...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

YELEUWIII! Katika hali ya kushangaza, sauti ya mpenzi wa staa wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ inayosikika akimtongoza Wema Sepetu imemfikia Shilole na kusababisha azimie

Nuh kajipambanua ileile. Kaimbisha mistari yote ya kimahaba, utafikiri alikaririshwa. Alijitahidi kushusha vesi tamu ili  kumuingiza Wema kwenye himaya yake. Huwezi amini jamaa alizidisha mbwembwe kiasi cha kumwambia amkubalie kwani hamtaki Shilole tena.

WEMA AMTOSA
“Wema amesikika akikataa, akamwambia hawezi kuwa naye kwani ni shemeji yake na anamheshimu Shishi,” kilisema chanzo hicho.

SHILOLE AMFUATA NUH
Chanzo hicho kilieleza kuwa, baada ya kuusikiliza ujumbe huo, Shilole alimfuata Nuh kwa ajili ya kumsikilizisha lakini Nuh alijibu ‘mbovu’ ndipo Shilole alipomuomba ufunguo wa gari waliyokwenda nayo, akarudi alipokuwa amekaa awali.

APOTEZA ‘NETIWEKI’
“Aliporudi alipokuwa amekaa, Shilole alijikuta akiishiwa nguvu na kuzimia ambapo Aunt Ezekiel na kina JB (Jacob Stephen) walipofanya kazi ya ziada kumpepea, huku wengine wakihangaika kummwagia maji kunusuru afya yake.
“Walifanikiwa kumpandisha kwenye gari lake. Joto lilikuwa kubwa kufuatia hali hiyo maana kila mtu alishindwa kuelewa kilichotokea, hivyo Shilole, baada ya kuzinduka aliulizwa kilichomfanya azime ambapo aliwasikilizisha sauti hiyo kila mmoja akabaki ameduwaa,” kilieleza chanzo.

AUNT AOKOA JAHAZI
Ilielezwa kuwa, mwigizaji Aunt Ezekiel ndiye aliyeokoa jahazi kwa kulazimika kuendesha gari la Shilole na kumpeleka nyumbani huku Nuh akipandishwa kwenye gari la JB kumpeleka kwa ndugu zake.
MSIKIE SHILOLE
Paparazi wetu, baada ya kupenyezewa ubuyu huo, alimtafuta Shilole ili kupata habari kamili ambapo alikiri kupokea ujumbe huo wa sauti huku akiainisha kuwa umemkera kwani kuna maneno yanasikika akimponda yeye.
“Inaniuma sana, Nuh kuendelea kunidhalilisha kiasi hicho wakati ni mwanaume ambaye ninamheshimu, tunakoelekea uzalendo utanishinda.
“Nilipousikiliza ujumbe ule kwa mara ya kwanza sikuamini nilichokisikia. Pamoja na Wema kuonesha wazi msimamo wa kumkataa Nuh ila mimi naona kama fedheha kubwa kwangu kwani ninamheshimu sana.
“Watu wananiona mimi mkorofi lakini kama ningekuwa napenda kuweka kila jambo wazi, hakuna mtu angeendelea kunifikiria vibaya.“Siwezi tena kuendelea kuumiza moyo wangu kila kukicha,” alisema Shilole ambaye anatumikia kifungo cha Basata kwa kutojishughulisha na sanaa kwa takriban mwaka mmoja kwa kosa la kucheza nusu utupu jukwaani.

Nimekuwekea hii Audio Hapa:


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ua na vipepeooooooooooooooooooooooooooooooooo hahahhahahahahahaha

    ReplyDelete
  2. nuh acha ubwege itakuwa hata nyimbo zako za mapenzi unaandikiwa kumbe hata kutongoza hujui shilole ulimpataje au ulitongozewa sasa habar za mauwa ya kwenu na wema wapi na wapi huo ukoloooooooooooooo

    ReplyDelete
  3. Nuhu bado mshamba saaaaaaaana kwenye kutongoza au anaangalia muvi za kihindi.

    ReplyDelete
  4. hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  5. Hahahahahahahaaaa dash.. Kumbe wema tunamtamani wengiii tunsmpondaga humu kama kiss cha sizitakimbichi hizi! Ila me cwez fanya upuuzi ka huo.. Toto ka hili unajitutumua unalitoa sehemu tulivuuu unaliimbisha onyinye.. Tatoo hizo ci ungeahidi kuukatilia mbalino mkono wenyewe..

    ReplyDelete
  6. Nuhuuu weee Bonge la mjanja babakooooo,, unaangalia wapi pa kulelewa umetishaaa,,, subiri kipondo kwa shish baby na hizo tatuuu ulizo jichora utaziunguza na pasiiii na nyege zako.

    ReplyDelete
  7. Hahahaha Nuhuuuuu. Tatizo ushaharibiwa na mimama. Shilole si sawa na Wema tu?? Kumbe kwenu ilala kota. Duuh kiasi uzungumzie ua lililopendwa na nyuki watu na vipepeo. Hahahaha

    ReplyDelete
  8. Enter your comment...Nuhu bado n kolo kwel bwn mdogo, hatutongoz hvyo, nashangaa shilole ulimpata vp au alikutongoza?

    ReplyDelete

Top Post Ad