Picha za Mwigizaji Jack Wolper Kwenye Mkutano wa Lowassa Leo...Apewa Mike na Kusizitiza Jina lake sasa ni Jack Lowassa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 Katika Mkutano wa Lowassa leo na Wanawake wa Chadema , Mwigizaji Jack Wolper Alipewa Nafasi ya Kuongea Kuwawakilisha wasanii na Kusizitisha kuwa kwa sasa jina lake ni Jack Lowassa Kama Alivyoandika kwenye ukurasa wake wa Instagram siku kadhaa zilizopita...
Jack Lowassa akisistiza jambo pembeni ni Aunt Ezekiel na katikati ni Shamsa Ford
Msanii wa Filamu Bongo Movies Jack Wolper akisalimiana na Lowassa mara baada ya kumpatia keki,ambapo jana mh.Lowassa alikuwa anatimiza miaka kadhaa toka azaliwe

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

24 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Safi sana Jack lowasa usisahau kupiga kura tu,,,,

    ReplyDelete
  2. Hee hee heee makubwa

    ReplyDelete
  3. Big up Jack, wataisoma namba mwaka huu

    ReplyDelete
  4. Safi sana aunt mmeonyesha msimamo sio kama hao mbulula wengne

    ReplyDelete
  5. Chezea Lowasa ww

    ReplyDelete
  6. Ukawa sisi ni Sera tu sio matusi.

    ReplyDelete
  7. Lowasaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  8. Hakuna cha makomeo wala magufuli yote tumeisha bomoa, pombe ni ile ile sema tu mmeamua kubadili chupa, wa Tanzania tumewachoka hatudanganyiki tenaaaaaaaaaaa mtatuua nyie ccm jaman pumba mlizotufanyia miaka 50 yte yametosha pumzikeni kwa aman

    ReplyDelete
  9. People's power

    ReplyDelete
  10. bora ninyi mmekuwa wawazi, kula kitu roho inapenda, siyo kama wengine wamekuwa wanafiki tu kufuata upepo

    ReplyDelete
  11. Mimi naitwaa Amanda Slaa

    ReplyDelete
  12. Hahaha mimi naitwa S.J.P.Magufuli

    ReplyDelete
  13. Na mimi nimebadili jina naitwa Sinachangu binti Lowassa hheee hheeeeyaaa nahamia na monduli kwa baba anilishe na anitunze pamoja na changudoa mwenzangu Wolper tumechoka kuuza nyuchi mpaka zimeota sugu

    ReplyDelete
  14. cheki jamaa ambayo anachelewa kupata mawasiliano na kitendo kinachotendeka.
    yaani mkono uko hukoooo. Raiisi hawezi kuwa na akili ya kuambiwa tu. hatufai. bora wasimamishe mwingine.

    ReplyDelete
    Replies
    1. chukuwa tano, umenifurahisha

      Delete
  15. WHERE IS DK'SLAA?
    PLEASE DK.SAY SOMETHING,MISS YOU !

    ReplyDelete
  16. ukawa hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  17. Nawapenda jack na wenzio yaani wasanii ote waliopo ukawa niwale wenye akili timamu kwanza juu yamaisha yao kiujumla pia sio wauza sura hawana maskendo yakutisha kama Yale mamburura yaliyopo ccm

    ReplyDelete
  18. CCM OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE

    ReplyDelete
  19. mie naitwa binti magufuli, kama ni mabadiliko mchezaji ni yule yule kabadirisha jezi.

    ReplyDelete
  20. Dr Slaaa hana fweza katupwa kuleeee CHADEMA tunataka wenye pesa kama Lowasa atupe mtajiii Dr Slaaa Chaliiiiiii,,,,,,,,,,people powerrrrr,,,,,,,chezea fweza wewee

    ReplyDelete
  21. Tusisahau kuimarisha ukawa hadi kieleweke. Tusisahau kuimba "tuna imani na lowassa"

    ReplyDelete

Top Post Ad