Rais Kikwete Awatahadharisha UKAWA Kuhusu kauli za uvunjifu wa amani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete amesema baadhi ya kauli zinazotolewa na Umoja wa Vyama vya Upinzani (Ukawa), zinaashiria uvunjifu wa amani pindi matokeo ya kura yatakapoanishwa baada ya zoezi la upigaji kura Oktoba 25 mwaka huu.

Rais Kikwete alisema baadhi ya kauli hizo zimekuwa zikionyesha wazi viashiria vya uvunjifu wa amani na upotoshaji kwa kundi kubwa la vijana ambao wanapiga kura kwa mara ya kwanza.

Akizungumza wakati akizindua Kampeni ya Mama Ongea na Mwanao jijini Dar es Salaam Rais Kikwete alisema;

“Wamediriki kusema wazi bila kificho kwamba patakuwa hapatoshi, hizi ni kauli zinazoashiria uvunjifu wa amani. Tunachokisema CCM ushindi kwetu ni lazima na tutashinda kwa kishindo na kwenda nginja nginja mpaka Ikulu.”

Kikwete alisema CCM imejipanga kuhakikisha inapata ushindi katika Uchaguzi Mkuu ujao na kuongeza kuwa ili kufanikisha hilo wamepanga kikosi kazi ambacho kitatembea nyumba kwa nyumba, chumba kwa chumba, mtu kwa mtu ikiwa kwa sasa tayari wameshaanza kufanya kampeni zao kupitia mtandao ya simu za mkononi.

Katika hafla hiyo ya kuzindua kampeni hiyo inayoratibiwa na msanii wa filamu na Miss Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu, Rais Kikwete aliwataka wanawake kaungalia mazuri yote yaliyofanywa na Serikali ya CCM katika kumuinua mwanamke.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kikwete ndo nani sasa hivi? Ccm ndo wavunjivu wa amani na matusi juu>>> Na yeye Kikwete na Ccm wajiadhali pia... Tumechoka na VITISHO KWA UJUMLA!!!

    ReplyDelete
  2. Msenge mkubwa wewe jk
    Njoooo London kwa basha wako uliyemnunulia nyumba London

    ReplyDelete
  3. Nenda ukamwambie Mkapa upuuzi huu. You clapped hands when Mkapa insulted the Tanzanians, why didn't you open up your mouth. You all should send an apology to all tanzanians

    ReplyDelete
  4. hana mpango
    Simpendi kama hitler huyu

    ReplyDelete
  5. Msenge tuu uyu kikwete hana lolote wawo wanavyo sema watashinda kwa lazima ama kwabao la mkono au kwanjia yoyote anazani sis wapuuzi sanaaa tuone wakishinda kwa mabavu no way Mr fuck President ume rong number at a kwa mtutu hatuto kubali mshinde kama hamjashinda kihalali someni alama za nyakati uwo udikteta wenu ukoooo msituletee hatupo Burundi hapa mpakmtulazimishe kutuongoza eti lazima tutashinda kuma lamama yako na mkeo ushindi labda tukufire kwanza ndio uupate nyoko wewe kikwete

    ReplyDelete
  6. Inna Lilahi wa inna ilahi rajiun, hivi kweli baadhi ya watanzania tumefikia mahali pa kumtukana raisi matusi ya nguoni pamoja na mkewe??!! Kama haitoshi mnamtukana hata mamake kwa kosa gani hasa? Huu ni utovu wanidhamu uliokithiri. Khaaa, na wewe mwenye blog unaachia matusi makubwa namna hii jamani!!! Muogopeni Mungu, kama binadamu hawawaoni mnapokuwa nyuma ya screen zenu lakini Mungu anawaona mpaka nyoni mwenu

    ReplyDelete
  7. NENDA KWANZA KAMWAMBIE NAPE ANYAMAZE NA KAULI ZAKE. KAMWAMBIE KINANA ANYAMAZE NA KAULI ZAKE! MWAMBIE NKAPA AKAE KIMYA! WATOE SERA WASITUKANE WENZAO! MWAMBIE MWAKYEMBE ANYAMAZE! MWAMBIE JANUARI AKAE KIMYA! WAAMBIE WATOE SERA!! SERA ZENU ZIMETUFIKISHA HAPA TULIPO KARIBU KILA NYANJA (AFYA - NO MEDICINE; NO OF BEDS FOF EXPECTANT MOTHERS ZERO! ROADS YOU PRETEND TO HAVE BUILD - NOTHING - ACCIDENTS HAVE KILLED OUR PEOPLE BECAUSE OF THE SUB-QUALITY WORK WHICH WAS PRESENTED TO YOU BY CONTRACTORS - REASON: BRIBERY! GO AWAY MR. KIKWETE.

    PIA NA WEWE KIKWETE NYAMAZA NA KAULI ZAKO ZA "MABUA".HAZINA TIJA!! TOA SERA. SEMA UMEFANYA NINI MIAKA KUMI.

    (A) UMEUZA NYUMBA ZA WALIPA KODI i(WAPUMBAVU NA MALOFA);
    (B) EPA imetokea ukiwa RAISI
    (C) RICHMOND imetokea ukiwa RAISI
    (D) ESCROW IMETOKEA UKIWA RAIS
    (E) MADUDU MENGI YA WIZI WA PESA ZA UMMA WAKATI WAKO KULIKO WAKATI MWINGINE
    (F) PESA ULIZOTUMIA KUSAFIRIA KWENDA MAREKANI KILA LEO KULA BACON SISI TUNALALA NA MADAFU SIO TIJA - WAAMBIE WATANZANIA!!
    (G) WEWE UMEENDA MAREKANI KUPASUA BUSHA! WAZEE WETU WAO HATA HELA YA CHLOROQUIN HAWANA!
    (H) UMEJENGA HEKALU MBOGA, MSHAHARA WAKO SHS NGAPI? HATA BILL GATE NA CLINTON HAWANA MAHEKALU KAMA HILO!
    (I) MKAPA NA HEKALU LAKE LUSHOTO JE? ANALIPIA KODI?
    (J) MKAPA AMETUKANA WATU HAPA UMEKAA KIMYA - IS THIS SUB- OR DOUBLE STANDARDS? WW UMEKAA TU KAMA HANITHI! RAIS GANI WW?
    (K) WW UNAMWACHA SALMA NYUMBANI UNAFUATA VIMADA HUKO AMERIKA UNATUACHA TUNAKULA MADAFU TU HAPA NYUMBANI? RAIS GANI MWENYE MICHEPUKO MINGI NAMNA HII?
    (L) NA LA MWISHO LAKINI YAKO MENGI TUAMBIE HAYA: TWIGA WETU WALIPANDA NDEGE VIPI? NA RIDHIWANI YALE MADAWA YA CHINA ILIFIKIA WAPI? ULIULIZWA HILO SWALI LA MADAWA YA KULEVYA ULIPOENDA MAREKANI WAKATI FULANI UKAJA JUU KAMA MBOGO!
    TUAMBIE SASA HIVI HAYA YOTE VIPI?

    EEH MUNGU IPELEKE CCM kuzimu kwenye MOTO WA MILELE!!

    ReplyDelete

Top Post Ad